Msanii wa Hip hop Tanzania na Mbunge wa jimbo la mikumi, Proffesor Jay amefunguka na kusema kuwa kwa muziki wa Tanzania hivi sasa, Msanii Diamond Platnumz ni kama lulu ya muziki huo kwani amekuwa kama nembo ya taifa kwenye muziki.
Professor
Jay amesema haya na kudai kuwa
msanii huyo amekuwa akijitahidi sana kutangaza muziki wetu ili ufike
mbele zaidi hivyo yeye anamuona kama ni nembo ya Taifa, kwan...
i atakapokuwepo anawakilisha Tanzania na muziki wa bongo fleva.
"Kwa sasa Diamond Platnumz ni kama lulu au nembo ya taifa, unajua sisi wote lengo letu kuona muziki wetu unafika mbele zaidi lakini Diamond Platnumz tayari ametangulia hivyo anapokuwepo ni alama ya taifa, na anafanya muziki wetu kuzidi kusogea mbele zaidi" alisema Professor Jay
Mbali na hilo Professor Jay anasema kuwa mpka sasa video ya wimbo mpya wa Diamond Platnuzm 'Kidogo' ni video bora kwake kutokana na ubora wa video hiyo na muonekano mzuri wa video hiyo.

0 comments:
Post a Comment