![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcgbCgVbfgx6mj844PuD2VYQ8Yl4Obpp3m3aZHg6gIN58CieyaH1rT1ldCHDYTF_UHWGE9beu4jHsnBr5Nx2M-Zaty_xdIsz5BGgX9lg_lQ8CMiaNtsSezQmswQAGEYUQhjE2HjY4whAY/s640/Wizkid.jpg)
Wizkid pia hakusita kumpongeza diamond platnumz baada ya nyimbo hiyo kuingia kwenye chat za BBC 1xtra UK na kupata rotation. Katika chat hiyo ni wasanii 2 tu kutoka africa walioingiza nyimbo zao , kidogo ya diamond na...
shabba ya wizkid mwenyewe akiwa na chriss brown, french montana na trey songz. Wizkid jumamosi hii atakuwa Tanzania jijini mwanza kutumbuiza kwenye show ya fiesta
0 comments:
Post a Comment