Saturday, August 20, 2016
FID Q KUACHIA ALBUM YAKE MWISHONI MWA MWAKA HUU
Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka. Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia inaweza kutoka November au...
December. Hiyo itakuwa ni album ya tatu ya Fid ambaye jina lake halisi ni Fareed Kubanda.
Ameshawahi kutoa album mbili, ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ na ‘Propaganda.’
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment