‘Mimi ni Pastol ambae najitegemea mimi kabla sijawa msanii nilikuwa nasoma sana masuala ya dini lakini sifikiri kuwa Pastol bali nitaifanya kazi ya Mungu mpaka...
pale mauti yatakaponikuta na ndio maana nimebarikiwa vitu vingi ni msanii naimba nawatungia wasanii nyimbo zao’– Barnaba
‘Nafikiri kufungua Kanisa langu na nitawapa watu waliendeshe mimi mwenyewe kwahiyo siku mwenyezi Mungu akibariki ndoto zangu basi lazima nitafanikishe hili sio lazima mkoani popote pale nitaangalia japokuwa asilimia 75 mkoani’– Barnaba
0 comments:
Post a Comment