Young Killer ameweka wazi sababu za kumuelewa Dogo janja, kuwa alimuhamasisha kwamba inawezekana kutoboa na kufanya vizuri kwenye tasnia ya Muziki hata ukiwa na...
umri mdogo.
Akiongea na Times fm, killer Amedai kuwa kabla ya kumsikia Dogo Janja akivuma, alikuwa akiamini ili ufanye vizuri kwenye muziki lazima uwe na umri mkubwa zaidi. “Unajua nisiwe muongo Dogo janja kanihamasisha sana kupambana nilikuwa naogopa kujaribu, sasa siku ile nipo nyumbani ye ndo anatamba nikasema lazima nimsikilize, hazikupita dakika nyingi nikamsikia redioni nikasema kumbe inawezekana, Young Dee nae ni mkali sana ila mimi namkubali zaidi Dogo Janja.”
0 comments:
Post a Comment