Rapper kutoka Morogoro, Stamina Siku ya leo anaachia remix ya wimbo ‘Mmeniroga’ aliowashirikisha rappers wanaofanya vizuri kwa sasa Roma na mkongwe katika muziki huu, Jay Moe. Ngoma hiyo imefanyika katika...
studio za Kiri Records chini ya mtayarishaji wa Rash Don.
0 comments:
Post a Comment