Mbali na wawili hao kufanya collabo ya pamoja kwenye ngoma ya Jaguar
mwenyewe iitwayo "One centimeter rmx" akiwa amemshirikisha Iyanya kutoak
Nigeria waliingia kwenye utata baada tu ya kutoa ngoma yao hiyo.
Utata huo ulianza baaada ya kusambaa kwa video hiyo ambapo Jaguar alitaka
ifike kimataifa lakini hakuonesha juhudi zozote za kui-push video
hiyo.Iyanya alisema kwamba...
Wasanii waakubwa ambao ni mapachaPeter na Paul maarufu kama P-square kutoka
Nigeria wanataraji kumzika baba yao mzazi Pa Mosses Okoye leo aliefariki
november mwaka jana.
Mazishi hayo ambayo yatafanyika ki mila pia yameweza ku-make headlines
kutokana na kucheleweshwa kuzikwa...
Wakali hawa wanaofanya vizuri kwenye ramani ya muziki Africa na kimataifa
kwa ujumla hatimae bifu lao limeisha.
Uthibitisho huo wa bifu la wakali hawa watatu limeisha mara baada ya
Diamond platnumz na Wiz kid ku-post kwenye page zao za instagram nyimbo mpya
ya Davido aliyo mshirikisha Uhuru na Dj bucks.
Diamond nae ali-post katika account yake kwa kuaonesha...
Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, amekiri kuwa tayari kwa upande
wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku
akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena
akitoka na rekodi mpya.
Afande Sele amesema kuwa...
Mastaa wengi wamekuwa wakiutumia mtandao wa Instagram kupost picha
ambazo zinaonesha maisha yao na karibia kila wanachofanya, lakini kwa
msanii wa R&B Juma Jux kuna mstari ambao ameuweka kati ya vitu
anavyoshare kwenye mtandao huo na maisha yake binafsi.
Inafahamika kuwa Jux anasoma nchini China, lakini hajawahi kupost picha
yoyote ikionesha yuko kwenye mazingira ya chuo kama ambavyo labda...
Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul
‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa
faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa filamu,
Aunty Ezekiel.
Akizungumzia ujauzito wa mpenzi wake, Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost
picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa
mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema...
Mwanamuziki anaetamba na hits single ya Akadumba Nay wa Mitego
amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake ya utafutaji na kuhangaika
na sanaa kuna watu wengi waliamini kuwa anapoteza muda.
Nay amesema watu hao pia wanadai kuwa bangi ndizo zinampoteza na kufanya
muziki ambao waliamini kuwa...
Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh
Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda ameibuka na kuandika
bandiko hili mtandaoni.
“Mwanaume lijali aliekamilika...
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika
wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda
kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa...
KATIKA hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu
kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa
kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo,
Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na...
Baada ya kuzuka tetesi kuwa alimdunda vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:
“Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni
mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi...
Anaitwa Tiara Mrembo Kutoka Kenya Ambae Ameshindwa Kujizuia na Kuonyesha
Penzi Lake wazi wazi kwa Diamond Kwa Kumtumia Video Mbali mbali akiwa Nusu
utupu...
Jana, Tiara ameupload video ya picha za utata akiwa kwenye Jacuzzi na
kuziandikia ujumbe maalum kwa staa huyo.
“And this is my story, and forget about Wema and Zari focus on this,”
ameandika...
Msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama Lulu katika
utafiti uliofanyika tangu mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu,imegundulika
kwamba Lulu ndie mwigizaji pekee wa kike anaelipwa hela nyingi kuliko
waigizaji wa kike wengine hapa bongo.
Jana tarehe 27/01/2015 katika interview aliyofanya Clouds Tv katika kipindi
cha Take One kinacho endeshwa na Zamaradi,Lulu aliweza kutaja dau lake
endapo mtu atataka kufanya nae kazi.
Kwa kawaida wasanii wengine wa kike katika filamu wakitakiwa kucheza kama
main characters kiwango chao cha kulipwa ni kuanzia laki nane mpaka...
CLUB Olympia iliyoko Sinza-Mori jijini Dar es Salaam, imeungua na
kuteketea kwa moto majira ya saa kumi na nusu usiku wa kuamkia leo ambapo
chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika mapema.
Mlinzi wa club hiyo inayomilikiwa na Samuel Mwaisumbe, na ambaye hakuweza
kujitambulisha jina lake, alisema...
Mwana dada Amber Rose ambae kila kukicha anazidi ku make headlines kwenye
vyombo vya habari imetoke habari mpya tena ambayo inamuhusu yeye na koko
master a.k.a D'banj wa nchini Nigeria.
Katika social media na blogs za Nigeria zime post habari inayo muhusu mwana
dada huyo ambae anataraji kuingia Lagos nchini Nigeria maalum kwaajili ya
msanii koko master a.k.a D'banj.Ni nini kinacho mpeleka huko endelea kusoma
hapa...
Huku kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa
na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo
Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na
wala...
Mbunifu wa mavazi mbali mbali wa hapa Tanzania,Sheria Ngowi amepata nafasi
ya kujitangaza zaidi katika soko la mavazi nje ya nchi mara baada ya kula
shavu la kumbunia Nguo aina ya suti Raisi mpya wa Zambia.
Raisi Edger Lungu ambae ndie raisi mpya wa sasa wa Zambia,suti hiyo aliivaa
wakati wa...
Rapper alietangaza kuacha Muziki siku chache za nyuma Nikki Zohan (Baba
Malcom) sasa ameamua kuwatolea uvivu na kuwachana Wasanii na Site ya
Mdundo ambayo inahusika na kuuza nyimbo.
Nikki ameonekana akilalamika kuwa amekuwa akidai malipo yake bila kupata
mafanikio yoyote yale na kudai kuwa walipokuwa wanamtafuta walionesha
ushirikiano lakini kwa sasa...
Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond
vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa
Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama...
NI fununu tu! Mwanamuziki wa kizazi kipya, Juma Jux, ameweka bayana kile
kinachoendelea kati yake na Vanessa Mdee ‘V Money’ kuwa ni mambo ya kikazi
na si uhusiano wa kimapenzi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV Online, Jux aliyasema
hayo kutokana na tetesi zilizokuwa zikiandikwa kwenye mitandao ya
kijamii, kwamba amejiweka kwa mwanadada huyo anayetamba na...
Miezi michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo
aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa
‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.
Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimedai kuwa, Masogange yupoyupo tu,
kazi kujipiga picha za utupu na...
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo
haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo
vizuri katika sekta hiyo.
Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya...
Asilimia kubwa ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva bado wanaishi majumbani kwao na wazazi wao na pia wengi wao hawajishughulishi na shughuli zingine zozote zaidi ya muziki na hili ndiyo limekuwa tatizo kubwa kwa wasanii wetu kuwa na maisha duni na kuto kukua kiuchumi na kujikita ktk uuzaji wa madawa, Ni wasanii wacheche ambao wanafanya muziki na huku wanaendesha miradi yao na wengine wameajiriwa ktk vitengo na makampuni tofauti. Hii imekuwa tofauti kidogo kwa msanii huyu hit-maker wa ngoma ya Tausi, Yeye ni...
Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Koko master a.k.a D'banj,inasadikiwa
kuwa ameporomoka kiuchumi kutokana na kuto fanya vizuri katika biashara
zake hususan muziki ambapo ni tofauti na zamani alivyo kuwa akifanya
vizuri.
Kutokana na ripoti iliyo tolewa na A list katika gazeti la Encomium,
inasemekana kwamba jamaa D'banj ameporomoka kila kitu si kiuchumi tu bali
hata kimuziki kwani amekua...
Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa
Aziz Ally Dar, anasoma Kesho sec
alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo yaani
alivyovaa...
Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi
la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva,
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay
ameamua kufunguka hadharani.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao walianzisha...
Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope
za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali alikuwa hawezi kutoka
kwenda kokote bila kuweka kope hizo na hata asipozibandika anajisikia
vibaya lakini baada ya kumharibia...
Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya
ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul
‘Diamond’, hivi karibuni lilionesha kumchengua msanii wa Bongo Fleva, Omari
Faraji ‘Ommy Dimpoz’ baada ya kutupia picha inayomuonesha akikitolea macho
kiwowowo cha demu huyo.
Ommy alifanya hivyo kupitia...
Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video
ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misuko suko katika mahusiano yao Chris
amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen.
.
Video inaitwa Autumn Leaves akiwa...