Pages

Subscribe:

Saturday, May 30, 2015

Download: Young Dee_Cowbama


Download

WIMBO MPYA WA DIAMOND WAWA GUMZO BARANI AFRICA... UHURU AOMBA KUFANYA REMIX

Diamond ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia wakati Kundi la Uhuru Kutoka Sauzi Afrika wakiomba kufanya Remix ya Wimbo wake Mpya wa Nanaa, Usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria video ya nana ilikuwa gumzo kwenye mitandao...

Download: Yamoto Band_Cheza Kimadoido


Download

MAHABA NIUWE... DIAMOND NA ZARI WAKIFANYA YAO

MIMBA YA ZARI YAWA KIVUTIO NA KUMWINGIZIA DIAMOND MAMILLION YA PESA

Imebainika kuwa mimba ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ inamwingizia jamaa huyo mamilioni ya fedha. Imeelezwa kwamba, katika kila shoo anayokwenda na mama kijacho huyo amekuwa akilamba dau kubwa kwani wengi wanahudhuria burudani inayotolewa na Diamond ili kumuona Zari akiwa na...

Video: Diamond ft Mr. Flavour_Nana (Official Video)


Watch Here

Download: Diamond Platnumz ft Mr. Flavour_Nana


Download

IDRIS NA WEMA NUSURA WAZICHAPE


Malkia anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014/15, Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa...

UMAARUFU ALIONAO NA MAISHA ANAYOISHI RAMADHANI SINGANO HAVIENDANI

Chumba anacholala Singano na Kaka yake Hais Ramadhani. UMAARUFU ni kama utumwa! huwezi kuwa huru kama una jina kubwa, halafu maisha yako ni ya kawaida tu. Kuna idadi kubwa ya wachezaji maarufu wa mpira wa mguu nchini, pia wapo wanamuziki n.k, lakini maisha wanayoishi ni tofauti na majina yao. Ni maisha ya kiwango cha chini. Katika soka la Bongo, huwezi kutaja...

DULLAH KUWAAGA RASMI WATAZAMAJI WA PLANET BONGO

Kile kipindi bora kabisaa cha burudani ambacho kilikuwa kikiruka kila siku ya Jumamosi kuanzia saa Nne kamili asubuhi mpka saa sita mchana, Jumamosi hii kinafikia tamati na hakitosikika tena Jumamosi, akipiga stori na Power Jams ya East Africa Radio Dullah amesema kuwa...

Friday, May 29, 2015

VIDEO YA DIAMOND KUZINDULIWA NA CHENEL YA BET SIKU YA LEO

Nyota wa muziki wa Bongo flabva nchini Tanzania, Diamond Platnumz anatarajia kuachia ngoma mpya ya kimataifa ambayo mpaka sasa haijajulikana kwani tayari ameshafanya collabo na wasanii watatu wa kimataifa akiwepo Flavour, P-Square na...

Download: Asia Mjuni_NImetulia Nae


Download

Download: Dogo D_Wape Kidogo


Download

Download: Country Boy ft G-Nako_Mtaa Kwa Mtaa


Download

Download: Ochu Sheggy_Dumange


Download

ALI KIBA NA JOKATE WATHIBITISHA UHUSIANO WAO

Fresh Jumbe aliwahi kusema penzi ni kikohozi kulificha huwezi.
Na sasa penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba limefikia hatua ambayo haliwezi kuwa siri tena. Wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa wapenzi kwa miezi kadhaa sasa lakini bado binafsi hawajeza...

AUNTY ATOA MAJIBU BAADA YA KUSEMEKANA KUWA MTOTO HAFANANI NA IYOBO

Mtoto wa kike wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson aliyejifungua mwishoni mwa wiki iliyopita na kumpa jina la Cookie (keki ndogo lakini tamu) anaanza kung’aa kwenye vyombo vya habari baada ya baadhi ya watu kumpiga zengwe la madai kwamba eti hafanani na baba yake, Moses Iyobo ‘Moze’.

Huku ishu hiyo ikipingwa vikali na Aunt, washakunaku wa mambo ya watu waliozungumza na Amani  baada ya kumuona Cookie walidai kwamba mtoto ni...

MWANA FA: DIAMOND YOKO SAHIHI KWA MALALAMIKO YAKE TUZO ZA KILLI


Staa wa Hip Hop Bongo,Hamis Mwinjuma amesema kuwa Staa wa Bongo,Diamond ana haki ya kutoa maoni na malalamiko yake kuhusu tuzo za muziki za Kilimanjaro(KTMA) za mwaka huu. Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena,alisema kilichomtokea Diamond hata yeye kilimtokea wakati alipotoa wimbo wake wa ‘Bado Nipo Nipo Kwanza’ ulifanya vizuri wakati huo lakini jina lake halikuwepo kwenye...

MTOTO WA AUNT EZEKIEL APEWA JINA HILI

Mwigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel alijifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dansa wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.

Wednesday, May 27, 2015

Download:Quick Rocka_Beautiful


Download

Download: Mirror_Hapo Ulipo


Download

Download: Ruby_Na Yule rmx (By Ben D)


Download

WAUZA SURA WAMCHANGANYA BATULI

Staa wa Bongo Movies, Yobnesh Yussuf ‘Batuli’ amekiri kuteswa na suru nzuri za wanaume ambao huwa wanamfuata kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi huku wengine wakimuahidi kumuoa na kuwakubalia ombi lao na kuelekeza mapenzi yake yote kwao.
Azungumza na tanuru la fulamu hivi karibuni  batuli alisema kuwa yeye huwa anapenda mwanaume mpole na mwenye...

Download: San Dee ft Nay Wa Mitego_Kiboko Ya Mabishoo


Download

LULU ARUDI INSTA KWA KISHINDO... ATUPIA PICHA ZAKE...

Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi...

Friday, May 22, 2015

IYOBO: AUNTY AMEKWAMISHA SAFARI YA LONDON

Staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moses Iyobo.
Dansa wa mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ Mose Iyobo, ambaye pia ni mpenzi wa staa maarufu wa filamu nchini Tanzania,Aunt Ezekiel, amefunguka kuwa hajajumuika na dansa wenzake kwenda jijini London, Uingereza kutokana na...

Download: Dogo ft Dee King Silver & Honeya_Vigurubanzi


Download

Download: Rich One ft Juma Nature & Inspector Haroun_Ukiona


Download

Download: Abdu Kiba ft Ruby_Ayayaa


Download

WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNTY NINGEGOMBANA NA WEWE

LICHA ya kupatana, habari ya mjini kwa sasa ni ugomvi mkali, wenye visa  vya kushangaza kati ya mastaa wawili wa sinema za Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.Hii ‘kapo’ siku za karibuni, ilikuwa nzuri kwa maana ya urafiki wao mkubwa.Urafiki wa Wema na Aunt ulianza pale Wema alipoutengua urafiki wake na...

Wednesday, May 20, 2015

BAADA YA KUPEWA ONYO NA BASATA SHILOLE AFUNGUKA HIVI...

Baada ya Kupewa Onyo na BASATA, Shilole Afunguka
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kusikitishwa na kitendo cha yule aliempiga picha zile akiwa stejini akitumbuiza  kwani ilikuwa ni bahati mbaya na sio makusudi. Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.
Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili amesema kuwa...

DIAMOND AFANYA SHOPPING YA MWANAYE NCHINI UINGEREZA

Diamond Platnumz anajivunia kuwa baba mtarajiwa, ndio maana ameanza mapema kumuandalia mazingira mazuri mwanaye mtarajiwa kwa kumnunulia vitu mbalimbali na kushare na followers wake wa kwenye mitandao ya kijamii.
“Anything for my little angel…” ndio maneno aliyoandika kwenye picha hii.
Muimbaji huyo wa ‘Nasema Nawe’ amabye weekend iliyopita alikuwa...

Video: G-Nako_Sichezi Mbali (Official Video)


Watch Here

Tuesday, May 19, 2015

Download: Somali ft J.O Conshaz & Kim John_Kishkwambi


Download

Download: Pipi_Shauri Yako


Download

Download: Ponchy ft Ay & Uenice_Boom Boom


Download

Download: Young Richft Algebra & Man DvD_Mwendo Wa Farasi


Download

VITA YA AUNT EZEKIEL NA WEMA YAZUA MAPYA

‘Nikifa usije kunizika, ukifa sitakuzika’! Ni maneno makali sana kuyatamka kiasi kwamba, enzi za wahenga ilipotokea ndugu, marafiki au majirani wakaapishana kwa maneno hayo, walitafutwa wazee wenye hekima ili kuondoa laana hiyo.

Sasa, hivi karibuni, baada ya kuvunjika kwa urafiki wa ‘kupika na kupakua’ kati ya mashostito wawili walio katika tasnia ya Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na Wema Isaac Sepetu maneno hayo yametumika...

ALIKIBA: VURUGU ZILIZO TOKEA SAUZI ZIMEFANYA VIDEO YACHEKECHA CHEKECHUA ICHELEWE

Staa wa muziki Alikiba amesema kuwa video shooting ya wimbo wake ‘Chekecha’ ambayo imepangwa kufanyika Afrika Kusini, imechelewa kutokana na vurugu dhidi ya raia wa kigeni (Xenophobia) zilizoibuka hivi karibuni nchini humo.

“Tayari tulikuwa tumeplan kila kitu unajua kunakuwa kuna zile dancing, choreographer wangu alikuwa ameshacreate kila kitu amewatumia dancers wa South Africa, lakini kilichotufelisha ni...

Friday, May 15, 2015

Download: Meek Mill_Energy (Free Style)


Download

SAKATA LA LINAH KUJICHUBUA... AAMUA KUFUNGUKA

Baada ya comment kadhaa kutoka kwa mashabiki na watu wanaomfuata Linah kupitia mtandao wa Instagram, mwenyewe aliamua kuandika maneno ambayo yametafsiriwa kama ni majibu kwa zile comment ambazo si nzuri kwake.

kwenye post yake Linah alianza kwa kuandika ‘Jamanii nimechoka Na kufuru zenu, hivi naomba niulize ufupi wangu, kukomaa kwangu...

LULU AKILI KUTOA SABABU YA KUPENDA WANAUME WALIO MZIDI UMRI

Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Kutoka na Wanaume Waliomzidi Umri
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye...

BABA KANUMBA: ILI WEMA AWEZE KUZAA NI LAZIMA ALALE JUU YA KABURI..!!

Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anatakiwa alale juu ya kaburi.
Hayo yanakuja siku chache baada ya Wema aliyewahi kuwa mchumba wa Kanumba kudai kusumbuliwa na tatizo la kukosa uwezo wa kuzaa hivyo mzee huyo kujiongeza na kusema ni kwa sababu alitoa mimba ya...