Alipohojiwa na TMZ, Rapper huyo alidai kuwa Kanye akivuta bangi siku yake itakuwa nzuri.
“Smoke some KK, make your day-day all better!” Alimwambia ripota wa TMZ. “I’m gonna send him some to the mental institution.” Kanye West alilazimika...
Get News, Music, Video and Software......
Kiwanda cha Saruji cha Dangote kimesitisha uzalishaji kutokana kuelemewa
na gharama za uendeshaji hatua inayowaacha watumiaji wake njia panda.
Moja kati ya picha ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika mtandao wa
Instagram leo Jumamosi ya November 26 ni picha ya muigizaji Aunty
Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo.


