skip to main |
skip to sidebar
DOGO JANJA KUJA NA BIDHAA ZA MICHEZO ZA WATOTO
Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka kwa kusema kuwa yeye
hana mpango wa kufanya biashara ya nguo kama wasanii wengine bali
anafikiria kuwa na bidhaa za michezo za watoto. Dogo Janja ameimbia show ya XXL kuwa amejipanga kuja na brand ambayo itatoa vitu vya watoto kama game.
“Yaani mimi nitakuwa na deal na madogo, madogo janja Mungu akijalia
niweze kusafiri nikaenda kuifanyia mitikasi hiyo nikirudi hapa narudi na
bidhaa. Unajua ukifanya biashara na mtu mzima...
haitamuhusisha mtoto,
lakini ukifanya biashara na mtoto itamuhusisha mtu mzima,” amesema Dogo
Janja.
0 comments:
Post a Comment