“Hata mimi mwenyewe hapo katikati baada ya ‘Muziki’ nimefanya nyimbo nyingi sana, na ningeweza kusema mwanangu tufanye, nilikustaki kufanya ilimradi eti kwa sababu ni...
mshikaji mnaongea mara nyingi, ana chana vizuri ndio wimbo wowote umuweke lazima wimbo uwe na sababu na yeye mwenyewe afeel aone huu wimbo mzuri naweza nikakaa,” amesema Ben Pol na kuongeza.
“Halafu lazima wewe mwenyewe uone hii nyimbo mchizi atakaa nayo poa au vipi. Tunashinda na watu wengi kama wakina Joh Makini, ila hamuweki tu kwa sababu ni mshikaji wako, unashinda naye lazima kwanza uone hii ngoma mshikaji ataongeza kionjo,” amesema Ben Pol.
0 comments:
Post a Comment