Thursday, March 29, 2018
CAMERA YAKUTWA ZIWANI IKIWA NZIMA BAADA YA KUDONDOKA MIEZI MIWILI ILIYOPITA
Katika hali ya kushangaza huko nchini Marekani, kamera moja ambayo ilipotea baada ya kuanguka ziwani na kukaa huko kwa miaka miwili imepatikana ikiwa nzima.
Inaelezwa kuwa kamera hiyo iliokotwa kwenye ufukwe huko Taiwan ikiwa imefunikwa na matope na uchafu mwingine bila hata kutambulika, lakini ilivyosafishwa ikagundulika kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR NICE: SIMKUBALI MSANII YEYOTE NAJIKUBALI MI MWENYEWE
Msanii wa muziki Bongo, Mr. Nice amedai kuwa hamkubali msanii yeyote zaidi yake hata akipewa fursa ya kutaja orodha ya wasanii watano anaowakubali nafasi hizo zote atajipatia yeye.
Muimbaji huyo aliyetamba na style ya Takeu amesema hayo nchini Rwanda alipokuwa akifanya show weekend iliyomalizika. Mr Nice amewataja wasanii...
Labels:
HABARI & UDAKU
ADHABU YA ROMA YAFUTWA NA WAZIRI MWAKYEMBE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harisson Mwakyembe leo Machi29, 2018 ametangaza kufuta adhabu ya kufungiwa kwa msanii wa muziki Roma Mkatoliki.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi ya Wizara hiyo jijini Dar es salaam Waziri Mwakyembe amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa Roma Mkatoliki atakuwa huru kufanya shughuli zake za muziki kama ilivyokuwa awali kwa sharti moja la kukamilisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
JUX: IKIFIKA WAKATI WATU WATAJUA HATUWEZI KUFICHA UJAUZITO
Jux
ameeleza hayo wakati alipokuwa anahojiwa na moja wapo ya chombo cha
habari nchini Tanzania baada ya kuenea picha ya mpenzi wake Vanessa
mitandaoni ikiwa inamuonesha tumbo lake limeja jaa mithiri ya ujauzito.
"Kiukweli Vanessa hana ujauzito ile ni picha tu, labda siku hiyo alikuwa ametoka kula 'ameshiba' na kupigwa picha vibaya ndio ikatokea hivyo. Lakini hakuna kitu kama hicho, hivyo vitu inabidi...
"Kiukweli Vanessa hana ujauzito ile ni picha tu, labda siku hiyo alikuwa ametoka kula 'ameshiba' na kupigwa picha vibaya ndio ikatokea hivyo. Lakini hakuna kitu kama hicho, hivyo vitu inabidi...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY WA MITEGO: BASATA HAWAWEZI KUNIPANGIA CHA KUIMBA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anajulikana kuwa miongoni mwa wasanii wabishi linapokuja suala la maadili ya kazi zao, Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego kwa mara ya kwanza amesalimu amri ya serikali na kuwasilisha kazi yake BASATA kukaguliwa, lakini asema sio sababu ya kumzuia kufanya atakalo.
Akizungumza na Nay wa Mitego
amesema ameamua kufanya hivyo ili kukwepa lawama za serikali, lakini
bado msimamo wake ni uleule kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MIMI MARS :SIWEZI KUOLEWA NA MWANAUME WA KABILA LA WAPARE
Mimi amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuulizwa swali na ripota wa kipindi hicho kuwa anatamani mwanaume wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
FAIZA ALLY ATEMA POVU BAADA YA ZARI KUPATA DILI NCHINI TANZANIA
Faiza Ally amesema kuwa ameshangazwa na kampuni hiyo kumtumia Zari kutoka Uganda kwenye matangazo yao ile hali kuna Watanzania wengi na wenye majina ambao...
Labels:
HABARI & UDAKU
DMX AHUKUMIWA MWAKA MMOJA KWENDA JELA
Rapper kutoka nchini Marekani anayeunda kundi la Ruff
Ryders, DMX amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kukwepa
kulipa kodi.
DMX alikamatwa July mwaka jana, kwa mujibu wa CBS rapper
huyo anadaiwa kiasi cha dola milioni 1.7 ambapo inasemekana alifungua
akauti benki nyingine na kutumia jina jingine ili kukwepa...
Labels:
HABARI & UDAKU
TAMMY THE BADDEST: MSANII ILI UUZE UNATAKIWA UWE NA MUONEKANO
Female Rapper Tammy The Baddest amesema muonekana wa msanii mbele ya mashabiki wake una nafasi katika kuuza muziki wake anaofanya. Tammy amesema kuwa msanii si kuandika nyimbo tu na kuingia studio kurekodi bali hata muonekano wake ni kitu cha kuzingatia.
“Msanii kama msanii hasa mtoto wa kike unatakiwa uwe full package, sio unaonekana tu umefanya muziki basi, no!, you have to sale, ili kuuza ni lazima uwe na muonekano mzuri hata kama una shida mtu...
Labels:
HABARI & UDAKU
MSAMI AMZUNGUMZIA UWOYA NA KUDAI HAMJUI DOGO JANJA
Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja inazidi kugonga vichwa vya habari, safari hii msanii Msamii aliyekuwa mpenzi wa Irene hapo awali anatajwa sana katika ndoa hiyo.
Msanii na Irene wameacha maswali mengi baada ya hivi karibuni kuanza kusifiana katika mitandao kitu ambacho baadhi ya watu wanadai hakileti picha nzuri katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, March 19, 2018
CHRISTIANO RONALDO AWA MCHEZAJI WA KWANZA KUFUNGA MABAO MENGI MWAKA 2018
Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemfunika nyota wa Barcelona
Lionel Messi pamoja na washambuliaji wengine akiwa ndiye mchezaji
aliyefunga mabao mengi zaidi ndani ya mwaka 2018.
Ronaldo amefanikiwa kufikisha mabao 21 kwenye mashindano yote tangu mwaka 2018 uanze, baada ya jana usiku kufunga mabao 4 kwenye ushindi wa...
Ronaldo amefanikiwa kufikisha mabao 21 kwenye mashindano yote tangu mwaka 2018 uanze, baada ya jana usiku kufunga mabao 4 kwenye ushindi wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MADEE: SIWEZI KUACHA MUZIKI LABDA NIFE
Madee ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha 'FRIDAY NIGHT LIVE' (FNL) inayorushwa na EATV baada ya msanii huyo kuonekana kusajili wasanii wake wapya kila...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AWEKA REKODI YOUTUBE AMTUPA MBALI DAVIDO NA WIZKID
Wazungu wanasema ‘Hard work Pays’ huu msemo unajidhihirisha kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye kila kukicha anaendelea kuweka rekodi kwenye muziki wake na awamu hii sio views wa kwenye mtandao wa YouTube bali ni Subscribers.
Diamond kwenye akaunti yake ya YouTube tayari amefikisha Subscribers milioni 1+ na kuwa msanii wa muziki wa 8 barani Afrika kuwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BLACK PANTHER YAZIDI KUWEKA HISTORIA YAINGIZA BILIONI 1.182.5
Filamu ya ‘Black Panther’ imezidi kufanya vizuri katika mauzo yake duniani. Filamu hiyo imetajwa kuingiza kiasi cha dola milioni 605.4 kwa Marekani ndani ya mwezi mmoja tangu ilipotoka February 16 ya mwaka huu, pia imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.182.5 duniani kote.
Kutokana na kiasi hicho kilichoingiza filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Marvel Studios, imevunja rekodi zilizowahi kuwekwa na filamu kibao kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
MTI WASABABISHA HASARA YA MAMILIONI SERENA HOTEL
Mti huo aina ya mkaratusi uliharibu magari ya thamani ya wateja waliokuwa wametembelea hoteli hiyo ya kifahari na kuyaachwa yakiwa katika hali mbaya.
Magari aina ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AWASHTUA MASHABIKI BAADA YA KUPOST UA NA KUANDIKA MANENO HAYA
Baadhi ya mastaa wamekuwa waki-post pia ua hilo jeusi kwenye mitandao ya kijamii endapo panapotokea dosari kwenye mapenzi ila kwa upande wa muigizaji na miss Tanzania 2006 Wema Sepetu imekuwa tofauti ambapo amepost...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, March 18, 2018
FASHION: DAD UGLY SNEAKERS ZAZIDI KUSHIKA CHAT
Ukizungumzia kwenda na wakati basi juua kwa sasa raba zilizopewa jina la ‘Dad Ugly Sneakers’ ndio zinahit sana kitaani hasa kwa mastaa.
Katika ulimwengu huu wa mitindo watu wengi wanapenda kwenda na wakati kwa kuvaa vitu vilivyo na majina makubwa. Mfano:- bidhaa za Louis Vuitton, Balenciaga, Zara na nyinginezo. Ila tokea kuingie trend ya viatu vilivyopewa jina...
Labels:
HABARI & UDAKU
ADA VYUO VIKUU NCHINI UJERUMANI YAFUTWA KWA WANAFUNZI WA NJE NA NDANI
Sasa wanafunzi wote wanaosoma nchini Ujerumani watakuwa na fursa ya kupata elimu bure, na kufanya kufanya fursa za elimu katika bara la...
Labels:
HABARI & UDAKU
KITUO CHA RUNINGA CHA NCHINI MAREKANI BET CHAMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ
Kituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao was iTunes nchini Burkina Faso.
Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika ”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi...
Labels:
HABARI & UDAKU
WATANZANIA WANNE WAONDOKA NA TUZO ZA HIPIPO NCHINI UGANDA
Alikiba ameibuka mshindi katika kipengele cha Wimbo bora wa mwaka Tanzania Seduce Me, Diamond ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka Afrika Marry You na Eneka ikitwaa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, March 17, 2018
SIMA SC YAAGA RASMI MASHINDANO YA KOME LA SHIRIKISHO
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoka sare ya 0 – 0 dhidi ya timu ya Al Masry katika mchezo uliyopigwa nchini Misri.
Simba SC imetolewa katika mashindano hayo baada ya kutoka sare ya mabao 2 – 2 jijini Dar es Salaam katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
FEMI ONE AUELEZEA WIMBO WAKE MPYA ZAGAZAGA
Rapper Femi One kutoka nchini Kenya, amefunguka kuhusu wimbo wake mpya wa ‘Zaga Zaga’ na sabau za kumshirikisha Mejja kwenye ngoma hiyo.
Akiongea na Bongo5, rapper huyo wa kike ambaye yupo chini ya lebo ya Kaka Empire, amesema kuwa ngoma hiyo inamliwaza mtu anapokuwa na matatizo na pia ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu kufanya...
Labels:
HABARI & UDAKU
FAHAMU KITU KUHUSU HII CHOCOLATE YA GHARAMA KULIKO ZOTE DUNIANI
Basi jana March 16, 2018 chocolate inayodaiwa kuwa ya gharama ya juu zaidi duniani ilipelekwa kwenye maonyesho ya biashara kwenye Mji wa Obidos nchini Ureno.
Chocolate hiyo ambayo ni ya gharama ya Euro 7,728 ambayo ni sawa na Fedha za Kitanzania Shilingi Milioni 20.7, imefunikwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO LIST YA NYIMBO ZA DINI ZILIZO KWENYE ALBAM YA SNOOP DOGG
March 16 Snoop Dogg ameachia rasmi album ya nyimbo za injili inayokwenda kwa jina la ‘Bible of Love’ mkongwe huyo katika muziki wa Hip Hop March 16 ameachia album yake hiyo ya gospel, baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Q CHIEF ASHUSHA ZIGO LA LAWAMA KWA PAPII KOCHA
Q chief ametoa kauli hiyo akiwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV baada ya kupita siku kadhaa tokea msanii huyo kuzimiwa MIC kwenye 'show' ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA SEPETU ASHINDWA KUVUMILIA COMMENT ZA MATUSI ACHUKUA HATUA
Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema
Sepetu, amedai amevumilia matusi vya kutosha anayotukanwa na kupitia
mitandao ya kijamii bila kosa lolote hivyo kwa sasa ataenda nao hatua
kwa hatua.
Wema Sepetu ametoa kauli hiyo alasiri ya jana (Machi 16, 2018) baada ya baadhi ya watu kupenda kumtolea maneno machafu na kumdhihaki kwa jambo ambalo yeye...
Wema Sepetu ametoa kauli hiyo alasiri ya jana (Machi 16, 2018) baada ya baadhi ya watu kupenda kumtolea maneno machafu na kumdhihaki kwa jambo ambalo yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)