Kupitia instagram account ya Uchebe ambaye ni mume wake Shilole amepost ua jeusi na kuandika...
ujumbe ambao umetafsrika kumlenga Shilole “Mfugaji hanakipaji chaufugaji ⚑⚑⚑❎❌✔”
Comments zimekuwa nyingi kutoka kwa mashabiki baada ya Uchebe kupost ua jeusi ambalo linahusishwa kuwa kuna dosari katika ndoa yao hii ni kutokana na rangi nyeusi kutafsiriwa kuwa ni majonzi.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment