Kupitia mtandao wa insta story Tanasha amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa hayuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Ali Kiba japokuwa wawili hao...
waliwahi kufanya kazi pamoja na hizo ni tetesi tu ambazo zinaendelea katika mitandao ya kijamii.
“Ningependa kuweka sawa uzushi ambao umekuwa ukisambaa kwenye kurasa mbalimbali za instagram na kwenye blogs kudai kwamba mimi na Alikiba kuwa ni wachumba ni uongo mtupu mimi na Ali Kiba tumewahi kufanya kazi pamoja kwenye video yake lakini hatujawahi kuwa wapenzi #uzushi wa uongo“
0 comments:
Post a Comment