Pages

Subscribe:

Monday, June 29, 2015

Download: Eminem ft Gwen Stefani_Kings Never Die (Snippet)


Download

DIAMOND PLATNUMZ KUJA NA VIDEO HII NYINGINE MPYA

Diamond Karibia anakuja na Video mpya ambayo hajasema ni lini inatoka. Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz amesema Video hii ana uhakika watu wataipenda. Diamond Platnumz ameandika: "Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!! (Niamini mimi, utaipenda hii Video...)" Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!!...

Download: Recho_Tua


Download

Download: Ainea ft Dullayo_Judy


Download

IRENE UWOYA ATOA ONYO KWA WASANII WAUZA SURA

Baada ya  kuwa  mrembo asiye  kifani  aliyefanikiwa  Zaidi kwenye  fani , Irene  Uwoya  ameonya  wasanii wa kike  wa  Filamu wanaochipukia  kutonaswa  na mtego wa kutumia uzuri wa Sura na Maumbo yao kujimaliza  kisanii. Akizungumza na  gazeti Uwoya   alisema...

ZARI AAMUA KUWAPA WABONGO MAKAVU

Shemeji yetu Zari ambaye ni mrembo kutoka Uganda ambaye toka amekua mapenzini na Mtanzania staa wa bongofleva Diamond amekua akipokea comments tofautitofauti kwenye page yake ya Instagram, June 28 2015 ameamua kuyaandika haya tena mengine kwa kutumia lugha ya kiswahili baada ya kushindwa kuvumilia.

Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>>’Mnikome, maisha yangu yanakuhusu...

Sunday, June 28, 2015

Download: Witnez ft Ochu Sheggy_Buku Jero


Download

Download: Nald Clever_Bumbika


Download

Download: Jay Wa Leo_Shamba La Bibi


Download

VIDEO YA CHEKECHA CHEKECHUA KUTOKA TAREHE 29 MWEZI HUU

Wakati Mashabiki wana hamu sana ya Video ya Chekecha Ally Kiba kafunguka tarehe rasmi ambayo video ya Chekecha itatoka! Akizungumza katika kipindi cha Bongo Fleva Ali kiba Kasema: "Video inatoka tarehe 29 Mwezi huu Mungu akipanga, tunapanga yetu lakini Mungu nae anapanga yake, ila sisi...

FAIZA: NAJUTA KUVAA NGUO INAYOONESHA MAKALIO YANGU

Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!
“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa...

Friday, June 26, 2015

WEMA SEPETU: SIWEZI KUMSAPOTI DIAMOND KWENYE TUZO ZA MTV

Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo. Pia amedai kuwa yeye na Diamond...

Download: Magazeen X Wizkid X Wale_So Low


Download

MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA NMB NA KUPORA FEDHA

Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha. Update Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio. "Ni kweli nimepata taarifa zenye maelezo machache kama...

Lyrics: Tyga ft Lil' Wayne_4 My Dawgs


[Pre-Hook: Gerard McMann]
Cry little sister
Thou shall not fall
Come, come to your brother
Thou shall not fly

[Hook: Lil Wayne]
This for my dawgs out here goin' crazy
Goin' crazy, goin' crazy...

Lyrics: Chris Brown_Liquor


"Off That Liquor"


[Verse 1]
I can’t lie girl, you so damn sexy
Them other girls ain’t got nothing on ya
Patron mixed with me that’s your recipe
I ain’t gotta say it, I’ll show you...

Download: The Game ft Drake_100


Download


Download: Chris Brown_Liquor



Download

Download: Tyaga ft Lil' Wayne_4 My Dawgs


Download

OMMY DIMPOZ AMPA SIFA MENEJA WAKE

Star anaetamba na Single ya wanjera(Ommy Dimpoz) amesema mafanikio yake ya kimuziki yametokana na usimamizi mzuri anaoupata toka kwa meneja wake(Mobenga). Akiongea na E-News ya EATV Ommy Dimpoz ameongea mambo mengi yahusuyo muziki wake na pia ameongea kuhusu umuhimu wa meneja katika muziki wake kwa ujumla. Ommy Dimpoz amesema: "Wakati naamua kufanya kazi kama Solo Artist kulikuwa na umuhimu wa kuwa na meneja maana mwanzo kuna changamoto nilikuwa napata kama...

SAKATA LA SUGU KUMNYANG'ANY'A FAIZA MTOTO LATOLEWA UFAFANUZI BUNGENI

Jana Katika Bunge Huko Dodoma Mheshimiwa Mbunge Mlata Alisemama Haya:
"Tuna Mbunge mwenzetu amemnyanyasa mwanamke mwenzetu ametumia siku moja Mahakamani kumnyang’anya mtoto wa miaka miwili.. Mbunge huyu anajijua kwa sababu mwanamke huyo anaitwa Faiza.. Faiza arudishiwe mtoto wake"

Sugu leo amesimama Bungeni na kulitokea Ufafanuzi swala hilo na Mahakama kumpa haki ya kumlea mtoto kutoka...

WOLPER: MIMI NI FREE MASON TANGU KITAMBO TU

Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani yake...

JOKATE ATUKANWA NA MASHABI KISA HIKI HAPA

Mwanamitindo  na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar.
Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile kilichodaiwa kuwa anahaha baada kuachwa na Mbongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ ambapo...

LINAH ANASA KWENYE MTEGO WA KAKA YAKE ZARI

Mrembo anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo.
Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe jijini Dar hivi karibuni, mwandishi wetu aliwaona wakiingia...

NYIMBO YA SARMY CLEVER YAZIDI KUFANYA VIZURI KIMATAIFA


Nyimbo ya Sarmy Clever yazidi kufanya vizuri mpaka kwenye Radio za kimaita yaendelea kufanya vizuri na kushika namba moja kwenye blog za nchini India.
Sarmy Clever Amepost picha hiyo hapo juu kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya; Ahsante m/mungu hadi blog na redio za nje zinatambua uwepo wangu...

DULLY SYKES KUFUNGUA ACCADEMY YA WASANII

Moja ya mipango ya Dully sykes ni kufungua academy ili aweze kuwasaidia vijana wanaochipukia katika muziki. Akiongea na 255 ya XXL Dully amesema: "Dhahabu Record nataka iwe academy mi napenda kila mtu awe mtu flani , kuna wakati nategemea ntakapokuwa vizuri ntafungua chuo kwa ajili ya kujifunza production na muziki kwa Free, ntakuwa nachukua...

Thursday, June 25, 2015

Download: Gelly Wa Rymes_Trap Queen


Download

Video: Makomando_Nam'bembeleza (Official Video)


Watch Here

Download: R Six ft Suma Mnazaleti_Bei Gani


Download

MILLARD AYO AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA JOKATE

Mtangazaji mwenye sauti nzito Bongo kupitia Clouds FM, Millard Ayo, Jumatatu iliyopita alibanwa azungumzie uhusiano wake na warembo wenye majina makubwa nchini, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo alimfungukia mmojammoja. Katika mahojiano maalum na Kipindi cha Sporah Show, mtangazaji alimbana Millard akimtaka aseme ukweli kuhusu...

ROMA: HUU NI UMASKINI WA AKILI

"WATANZANIA WAKIAMBIWA WAMEONGEZEWA #MSHAHARA WANASHANGILIA SAAAANAAA!! BILA KUJUA KUWA GHARAMA ZA MAISHA ZIMEPANDA PIA!!! (Huu ni Umasikini wa Akili) Mtumishi aliyekuwa analipwa laki 5 kwa mwezi!! Sasa akaambiwa analipwa Laki 7 kwa mwezi atafurahia!! Bila kujua...

CHRISTIAN BELLA FT ALI KIBA COMING SOON

Ile Collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya Christian Bella akimshirikisha Ali kiba iko mbioni kutoka kwa sababu wamesharekodi na nyimbo tayari imeisha. Katika Instagram Christian Bella ameandika...

JOKATE AMFUKUZISHA ALI KIBA KWENYE NYUMBA ALIYO KUWA AKIISHI

Licha ya mwenyewe kukanusha vikali lakini madai mazito yanasema kuwa, nyota wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi iliyopo Kunduchi-Beach jijini Dar baada ya kukosana na mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ambaye pia ndiye mmiliki wa mjengo huo. Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, pamoja na Kiba kuendelea kusisitiza kwamba si kweli, mwanamke huyo anayeishi nchini Singapore, aliamua kuchukua uamuzi huo baada ya...

DIAMOND NA NEYO KUSHIRIKI JUKWAA MOJA

MTV AFRICA wamethibitisha uwepo wa msanii wa marekani maarufu kama Neyo katika usiku wa utoaji tuzo ambazo zitafanyika tarehe 18 mwezi ujao. Leo katika mtaandao ya Twitter MTV wameandika: "What ya'll think of a @diamondplatnumz & @NeYoCompound collabo at #MTVMAMA2015? Could be epic, right...

Wednesday, June 24, 2015

Video: Malaika ft Mensen Selecta_Sare (Official Video)


Watch Here

Download: Chibway_Mafarao


Download

Download: Dyna Nyange_Hakuna Kama Lowasa


Download

BELLE 9:VIDEO ZA KIBONGO ZINAFANANA ILA YANGU ITAKUWA TOFAUTI

Belle 9 anatarajia kufanya video ya "Shauri zao" ambapo kasema anatarajia kuja na kitu tofauti kutokana na mfanano wa Video nyingi za Kibongo. Akizungumza katika kipindi cha E- News cha EATV, Belle 9 amesema: "Unajua sasa hivi video nyingi ukiangalia zinafanana location. Siwezi kuzitaja hizo video, sikupenda sasa hivi video itoke kwa kuwa sitaki...

ALI KIBA: KIUKWELI SISAPOTI HIZI TEAM ZA KWENYE MITANDAO

HitMaker wa Single ya Chekecha Ally Kiba amesema hafurahishwi na uhasama uliopo kati yake na mashabiki wa Diamond Platnumz. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm Ally Kiba amesema: "Unajua sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sana, unapoona mambo yanatokea kama hivyo huwezi kufanya...

DIAMOND ASITISHA KUPOKEA COLLABLE ZA WASANII WA NIGERIA

Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake’ kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa Nigeria ambao hawajafanikiwa kufanya nae wataikosa nafasi hiyo. Platnumz ambaye Jumamosi iliyopita pamoja na msanii wa Afrika Kusini, Donald wameshoot video ya collabo yao mpya, amesema kwa sasa...

MAHUSIANO YA JUX NA VANESSA YAZIDI KUZUA MASWALI

Super model ambaye yupo gerezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric . Awali mwana dada huyo aliwahi kuwa na mahusiano yakimapenzi na mwanamuziki wa bongo fleva Juma Jux ,lakini baada ya mwanadada huyo kutupwa garezani kwa miaka kumi ,Jux ameamua kunzisha mahusiano na Vanessa Mdee huku wakiwa wanaponda raha za kufa mtu. Awali jux alinukuliwa na kituo kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi wake Jack yupo jela ila bado...

NAVIO FT MR. BLUE KUTOKA HIVI KARIBUNI

Sio Muda mrefu toka Navio alipofanya Collabo na Izzo Bizness, Collabo nyingine kubwa inayofuata Baada ya Hiyo amemshirikisha Hitmaker wa "Pesa" Mr. Blue. Katika Mtandao wa Instagram Navio kaandika: "The Audio for #Ayaya drops in a few days. Nav X @mrbluebyser1988. Produced by @banostylez. The turn up just got real!!! #AYAYA". The Audio for #Ayaya drops in...

AUNT EZEKIEL: SIPENDI MWANANGU AWE MWIGIZAJI

Aunty Ezekiel: Sipendi Mwanangu Awe Mwigizaji
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama yeye.
Akizungumza na Clouds Fm, alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka mtoto wake asome na kama...

SASA NAMZALIA NUHU MTOTO ASEMA SHILOLE

Chande Abdallah Kutoka kwenye mtima! Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia ishu ya kumbebea mimba mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ili kuwafunga midomo wanawake wa mjini ambao wanamzengea jamaa huyo. Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa katika pozi na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Shilole alitiriria kuwa...

Sunday, June 21, 2015

WAMEMBAKA MKE WANGU NIMEONA NIACHANE NAE TU

Ndoa yangu sasa ina miaka 8, tuna watoto 3 na tumejenga nyumba mbili, wiki mbili zilizopita mke wangu alibakwa na watu wawili waliokua wamejenga nae ukaribu kwa lengo la kumhadaa. Siku ya tukio alipigiwa simu na hao jamaa kwamba kuna shamba limepatikana Bagamoyo hivyo wakaliangalie sikuwahi kujua kama anahitaji shamba. Ilikuwa ni Jumapili asubuhi akaniacha home nimepumzika akaenda ili...

Download: Songa ft Double_Hisia Za Moyoni


Download

Video: Kala Jeremiah ft Roma_Nchi Ya Ahadi (Official Video)


Watch Here

HAYA NDIYO MANI YA WATU BAADA YA DAVIDO KUPOST BENDERA YA TANZANIA

Muda si mrefu Davido kapost Picha ya bendera ya Taifa la Tanzania katika Mtandao wa Instagram, Jambo hili limegusa hisia za watu wengi. Nimekuwekea Maoni mbalimbali ya watu, yaliotolewa na watu baada ya Davido kupost Picha hiyo hapa...