skip to main |
skip to sidebar
JOKATE AWEKAWAZI UHUSIANO WAKE NA ALI KIBA
Mrembo na Mwanamuziki Jokate Amejibu Swali ambalo wengi walikuwa wanapenda
kusikia kama kweli yeye na Ali Kiba ni Wapenzi ama ni Project tu Katika
Mohojiano na Gazeti la Champion jokate amejibu hivi: Wewe na Ali Kiba mna uhusiano gani?
- Tuna uhusiano mzuri sana kwenye... kazi kiasi kwamba anaweza kunishauri
mahali ambapo ninakwenda ndivyo sivyo, mimi pia hufanya hivyo pindi
anapohitaji ushauri, kwenye maisha binafsi mimi na Ali Kiba ni washikaji
wakubwa tena sana na siyo kimapenzi kama watu wengi ambavyo wamekuwa
wakizungumza vitu ambavyo havina ukweli wowote.
0 comments:
Post a Comment