Watch Here
“Nashindwa kuvumilia,” anasikika akisema. “Mpaka sasa nipo...hapa kitengo cha madawa na sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wamenifanyia makusudi. Sasa mimi nikikosa madawa wanataka nirudi kwenye kuvuta unga,” amehoji muimbaji huyo.
Ray C aliendelea kudai kuwa mwili unamuuma pamoja na mifupa huku akishindwa kujua afanye nini ili kukabiliana na hali hiyo ambayo amedai inamtesa.
0 comments:
Post a Comment