skip to main |
skip to sidebar
UWOYA AFUNGUKA BAADA YA TUHUMA KUWA AMEFULIA
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa
wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa
vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa... kurudi upya kwa
ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.
- “Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina
mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,”
alisema Uwoya.
0 comments:
Post a Comment