skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND PLATNUMZ KUJA NA VIDEO HII NYINGINE MPYA
Diamond Karibia anakuja na Video mpya ambayo hajasema ni lini inatoka.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz amesema Video hii ana uhakika
watu wataipenda. Diamond Platnumz ameandika:
"Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!! (Niamini mimi,
utaipenda hii Video...)"
Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!!...
(Niamini mimi,
utaipenda hii Video...)
A photo posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on Jun 27, 2015 at
11:48am PDT
0 comments:
Post a Comment