skip to main |
skip to sidebar
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi:
“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji
ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo
kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya
na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya...
Leo tunaye msanii wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni
alithubutu kugombea ubunge kupitia viti maalum mkoani Singida. Kwa bahati mbaya kura za msanii huyu hazikutosha. Mwandishi wetu
alionana na mwanadada huyo nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar na...
FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa
‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi
‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki
yake juu ya malezi ya mtoto wake.
Mrembo huyo mwenye vituko kwenye suala la uvaaji ‘alitinga’ mahakamani
hapo sanjari na mwanasheria wake, ndugu na baadhi ya watu wa karibu kwa
lengo la kupinga...
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa
ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda
eti amezeeka
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana
mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka
kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo
ninamiaka mingi kweli na nimewazidi...
Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo ameitaja
sababu iliyomfanya atake sana kukutana na Diamond Platnumz. “Baada ya watu kusikia kuwa nilikuwa nakuja kwenye MAMAs jina pekee ambalo walikuwa wakilitaja kwangu ni Diamond Platnumz,” Ne-Yo alimwambia Vanessa Mdee kwenye interview ya MTV Base.
“Nikasema ni lazima nikutane na huyu jamaa, nahitaji kumuona,” aliongeza.
Siku moja kabla ya tuzo hizo pia...
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa
kusema kuwa viwango vyake katika maswala mazima za kujipodoa ni ya kiwango
cha juu.
Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka
picha hizo hapo juu.
“Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na...
Haya sasa hawa ndo vijana tunaowataka katika kukuza mziki wetu hongera
sana Diamond Platnumz kwa hatua uliyofikia kukuza mziki wa vijana na
hongera kwa kuonesha nia ya kumsaidia tena msanii HAWA WA NITAREJEA Kwa
kusema upo teari kufanya nae kazi wale walokuwa wanasema...
Msanii Mrisho mpoto leo ametembelea Baadhi ya shule zilizopo Mkoani Ruvuma
katika Wilaya ya Namtumbo kiijiji alipozaliwa
Hii ni kwa msukumo na msaada kutoka PSPF katika jicho lingine la kuitazama
Elimu ikiwa kama chanzo na mwanzo mzuri kwa kizazi kijacho
Misaada hiyo iliyotolewa na...
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya
alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya
kupewa na watu.
Baada ya kuweka maneno hayo na watu kumnanga kuwa amezoea kuhongwa na
hajawahi...
Wema SepetuMusa Mateja
Inasikitisha! Mrembo Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akiangua kilio
baada ya kupewa maneno ya kejeli na aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ kufuatia kupigwa chini kwenye kura za kuwania Ubunge wa
Viti Maalum mkoani Singida kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
wema sepetu Mrembo kunako Bongo movie aliyekuwa akiwania ubunge wa viti
maalum Ikungi Singida, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Chanzo makini kinadai kwamba...
Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari )
wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua
hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa.
Kundi kubwa linawalaumu wasanii hawa kwa kupiga picha kama
hii huku likidai ni...
Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Uingereza. MALAIKA aanguka nchini UINGEREZA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza kumiminika kwenda kumshuhudia. See more Pics inside...
Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite. Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM. Diamond ameandika hivi...
Ni wiki moja tu imepita baada ya Msanii Diamond Platnumz kushinda tuzo ya Mtv na kufanya awe msanii wa kwanza nchini Tanzania kutwaa tuzo hiyo, lakini bado anaendelea kufanya vizuri nje ya Tanzania hii imeonekana siku ya jana baada ya kutwaa tuzo nyingine ya #AfricanAchieversAwards2015 ambapo Diamond ameweza kutwaa ktk kitengo cha Msanii bora wa Africa. Baada ya kushinda tuzo hii amepost picha hiyo hapo juu ktk ukurasa wake wa Facebook na kuandika...
Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole
sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya
rushwa ya ngono, Batuli alifunguka hayo alipokuwa katika kipengele cha
Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook
wa EATV.
Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya
kuondoka katika kundi hilo ilikuwa kuombwa rushwa ya ngono ili...
Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii
nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru
mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu,
yananipa moyo.
Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu
mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye...
Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema
Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa
Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3 >>Kushinda, >>Kushindwa na >>Kudroo. Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho...
Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya
tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum
jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi
huo. Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Linah Sanga amejikomboa kwa kukaribia kukamilisha mjengo wake japo anadai watu wengi wamekuwa wakijaribu kumkatisha tamaa. Linah alifanya ukaguzi kwenye nyumba yake inayoendelea kujengwa.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa haikuwa rahisi kujenga nyumba hiyo
kutokana na...
Msanii na mtunzi wa nyimbo za Bongo Flava, Amini amesema haamini kuwa msanii akioa hushuka kimuziki. Amini ameiambia Clouds FM kuwa anashukuru kumpata mke ambaye wanaendana katika kazi zake.
“Unajua kila mtu ana mtazamo wake, wengi wanasema hivyo kuwa msanii
ukioa unashuka. Hapana kwangu nakataa na mimi sijaoa useme labda...
Shilole na Nuh Mziwanda wameachiaSingle yao inayojulikana kama ‘Ganda la
Ndizi’ kabla ya kutoa wimbo huo walionekana kama kutofautiana kwenye
mtandao wa kijamii wa @Instagram huku kila mmoja akiweka ujumbe wa
kumkashifu mwenzake.
Hekaheka ya leo imefanya mahojiano na wawili hao na kuamua kuzungumzia
utata wao ambao ulizua gumzo kwenye mtandao wa Instagram.
Shilole amesema...
Diamond Platnumz hana maneno ya kuwaeleza walimwengu ili wajue ni kwa
kiasi gani anampenda mchumba wake, Zari the Bosslady. Lakini inaonesha
kuwa siku za hivi karibuni wanawake wamekuwa na mchango mkubwa zaidi
katika ustawi wa maisha ya wapenzi wao. Mr Blue pia hana maneno ya
kueleza ili watu waelewe anavyompenda mke wake Wahyda.
Blue amepost picha Instagram akiwa na mke wake huyo na kuandika,” Morning ig…
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefungukia kuingia kwenye
siasa kuwa ni bora abaki kwenye upenzi na chama fulani kwani hawezi
kugombea.
Akizungumza na Amani juzikati, Kajala alisema kuwa, japokuwa wasanii wengi
wakiwemo wa tasnia ya filamu Bongo, wamekuwa wakichukua fomu za kutaka
kugombea nafasi mbalimbali za udiwani na ubunge lakini kwake...
Muimbaji mkubwa wa Nigeria, D’Banj amemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo. Kokomaster amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na
kukubaliana kufanya collabo lakini amekuwa akimpiga chenga mpaka sasa.
Star huyo ambaye aliibuka na tuzo ya ‘MAMA Evolution’ katika MTV MAMA
2015, ameongeza kuwa kabla mwaka huu...
Rapper Afande Sele amesema wasanii hawajanufaika na ubunge wa Joseph
Mbilinyi aka Sugu licha ya kumsaidia kumpigia kampeni katika uchaguzi
uliopita. Akizungumza na Planet Bongo ya East Afrika Radio, Afande alisema Sugu
ameshindwa kuwatumikia wasanii na kujinufaisha yeye mwenyewe.
“Sisi tuliamini akienda kule ndio mdomo wetu, kasahau kabisa wasanii
wenzake,” alisema. “Kipindi ambacho wasanii wa antivirus wanalalamika
kwamba kawatosa porini, akasema yeye sio...
Mkali wa “Knocking on my door” D’Banj amefunguka kuwa anamtafuta Diamond
kwa muda mrefu afanye nae Collabo lakini Diamond amekua akimzungusha, Dbanj
amemfananisha Diamond na Justin Bieber au Lil wayne kutokana na Mashabiki
alionao.
D’banj amefunguka hayo alipokua...
Master J ameamua kuweka wazi sababu za kuachana na mke wake aliyezaa naye watoto watatu wa kike. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii, producer huyo mkongwe alidai
kuwa pamoja na ndoa yao kufa, mke wake ni mwanamke wa pekee.
“Wewe unaweza kuwa mtu mzuri na yeye anaweza kuwa mtu mzuri lakini when
it comes to the matters of the heart ikawa inashindikana,” alisema.
“Lakini sio kwamba...