
Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3 >>Kushinda, >>Kushindwa na >>Kudroo. Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho...
wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia
0 comments:
Post a Comment