Pages

Subscribe:

Saturday, July 11, 2015

HIKI NDICHO WALICHO KIFANYA WAFUASI WA LOWASA HUKO DODOMA

Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu. Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM. Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM. Baadhi ya waaandamaji wakipinga...
Edward Lowassa kukatwa. Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

Wapambe wa Mbunge  wa Monduli Edward Lowassa  hivi sasa wanafanya maandamano makubwa nje ya ofisi za CCM hapa makao makuu ya CCM wakipinga Mbunge huyo kuchujwa katika tano bora.
Wapambe hao wanaimba nyimbo mbalimbali za kukiponda chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa chama hichosio cha kindugu na  pia sio cha kifalme.
Kwa namna nyingine  hali si shwari hapa mkoani Dodoma ambapo sintofahamu imetawala kuhusiana na Edward Lowassa kukatwa.
Bado haijulikana nini hatma ya kikao kinachoendelea hivisasa kwa kuwa wa wajumbe wengi wa napinga Lowassa kuchujwa.
Baishara zasimama,makao makuu Dodoma.
Baadhi ya wapambe wa Lowassa wakipinga Kamati kuu kumchuja Lowassa.
Barabara zafungwa Polisi watanda kila kona kudhibiti usalama dhidi ya waandamanaji.
Wapambe wa Loawssa wakipinga kukatwa tano bora.

0 comments:

Post a Comment