skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND AMPIGA DONGO WEMA BAADA YA KUKOSA UBUNGE
Kweli Mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite. Hili ndio 'dongo' ambalo Diamond amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM. Diamond ameandika hivi...
Hili ndogo ni la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV.
0 comments:
Post a Comment