skip to main |
skip to sidebar
NAY WA MITEGO: NATUMIA DAMU KWENYE VIDEO KAMA ALAMA YA KUNITAMBULISHA
Staa anayefanya vizuri na video ya Sina Muda(Ney wwa mitego) amekuwa akizua
maswali mengi kwa mashabiki wake kwa kutumia damu katika video zake nyingi
huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Ney wa Mitego ni
mwanachama wa Free Mason.
Akizungumza katika kipindi cha Clouds E, Ney wa Mitego amesema amekuwa
akipokea...
comments nyingi kuhusu video zake kufanana kwa sababu zote
ametumia damu, Kwa mujibu wa Ney wa Mitego amesema kuwa anatumia damu kama
alama ya kumtambulisha.
0 comments:
Post a Comment