skip to main |
skip to sidebar
HUDDAH MONROE AVISHWA PETE YA UCHUMBA
Huddah MonroeMREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha
pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.
Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja
ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram. “Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha
pete hii, lakini kwa sasa...
watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.
“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu
ni muda wangu wa kutulia na kufanya maisha na mume wangu mtarajiwa,”
alieleza Huddah.
0 comments:
Post a Comment