skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND PLATNUMZ NA NEYO WAINGIA STUDIO KURECORD
Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati
juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufanya
Coke Studio na Kiba ila Diamond hapo hapo akachukua fursa bila kupoteza
muda na kumburuza NE-YO studio kutoa... kitu kipya..ANGALIA PICHA HIZO
USHAHIDI WAKIWA STUDIO NA SHEDDY CLEVER YULE PRODUCER WA NGOLOLO.. Hahah
Natumaini kiba na yeye atakamata fursa...ole wako urudi bongo bila collabo
0 comments:
Post a Comment