
Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(Lowasa,Sumaye). Sina shaka alichoandika hakijatoka... kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua). Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).
0 comments:
Post a Comment