skip to main |
skip to sidebar
HII NDIYO KAULI YA DIAMOND KUHUSU LOWASSA
Diamond ameandika hivi: Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi
Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa
napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada
ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawakuliona hili??? Kwakuwa... Wamekosa
ndio Ghafla Chama kibaya..???? Si juzi tu walikuwa wanakisifia???? Tena
Masifa kedekede, baada wao kukosa ndio kimekuwa kibaya...???
Kama una FACT nijibu hapo ili mimi na wewe Tuijenge nchi yetu Matusi
hayatokusaidia wewe, Mimi wala Mtanzania Mwenzetu ataesoma hapa,
Tuelekezane kibusara Ukinipa Point basi naja, Kama Hauna Point
nakukaribisha.... Ccm Chama la Wana!!
0 comments:
Post a Comment