skip to main |
skip to sidebar
HACKERS WAGEUZA ACCOUNT YA FID Q KUWA YA WEMA SEPETU
Kama unaitafuta akaunti ya Instagram ya Fid Q kuanzia jana bila mafanikio
basi fahamu kuwa hackers wameitaifisha, kufuta picha zake zote na kuigeuza
kuwa ya Wema Sepetu.
Akaunti hiyo ina followers zaidi 160,000.
“Account hii imekuwa hacked jana usiku ila mimi nimegundua leo asubuhi,”
Fid ameiambia Clouds FM.
“Niligundua baada ya... kuingia katika account ikawa inanigomea. Mimi
nilikuwa nimeandika mwanaharakati, sasa naona wameamua kubadili na jina na
kuandika jina la Wema Sepetu,” alisema.
0 comments:
Post a Comment