Saturday, April 30, 2016
VIDEO YA SNURA, CHURA YAWA GUMZO HUKO YOUTUBE
Labels:
HABARI & UDAKU
LULU AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA DJ MAJAY
Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati WA...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, April 29, 2016
MADEE: NILITARAJIA KUMUONA RAYMOND AKIFANYA VIZURI
Msanii Madee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kazi za msanii Raymond ambaye alikuwa Tip Top na sasa yuko WCB. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Madee amesema kuwa alitegemea kumuona Raymond akifanya vizuri, kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
T.I.D: WEMA AKITAKA KURUDIANA NA MIMI HAKUNA NAFASI TENA
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY: NAONYESHA MALI ZANGU ILI KUWAPA HAMASA VIJANA
Amesema anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe alitoka katika maisha magumu ambayo alikuwa hadhani kama angeweza kufikia mafanikio hayo lakini alipambana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO SABABU YA WOLPER KUACHA KUVAA NGUO ZA KIUME
Akiongea kwenye kipindi cha Nirvana, kinachoruka kupitia EATV, Wolper
alisema ‘nilikuwa navaa vile kutokana na wakati ule, sasa hivi
nimeshakuwa na mchumba’.
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, April 27, 2016
MARCO CHALI: WIMBO WA FREEDOM SIYO WA MR BLUE
Lakini katika kila malalamiko, ni vyema kusikiliza pande zote zinazohusika kwenye jambo husika ili kuupata ukweli. MJ Records walioutayarisha wimbo huo wamezungumza kuelezea mambo yalikuwaje.
Producer mkuu wa studio hiyo, Marco Chali ameiambia Bongo5 kuwa beat ya wimbo huo ilitengenezwa na mdogo wake, Daxo Chali aliyetengeneza chorus yake na alimpa msanii wake...
Labels:
HABARI & UDAKU
NUHU MZIWANDA: NIMESAHAU KABISA HABARI ZA SHILOLE
Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa
'Jike Shupa' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye alishasahau habari
za Shilole hivyo hata wimbo wake huo mpya hajamuimbia Shilole. kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wakihisi kutokana na ujumbe uliopo kwenye wimbo huo.
Nuh Mziwanda akizungumza na eNEWS alisema yeye hawezi kumuimbia mtu mmoja wimbo na kudai kuwa yeye ameimba wimbo wa mapenzi ambao anajua...
Nuh Mziwanda akizungumza na eNEWS alisema yeye hawezi kumuimbia mtu mmoja wimbo na kudai kuwa yeye ameimba wimbo wa mapenzi ambao anajua...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ANUFAIKA NA UGOMVI WA P-SQUARE
Diamond amewakutanisha kwa mara ya kwanza kwenye project yake, tangu juzi wote peter na paul wapo south africa wakishoot video na diamond.
Juzi wote wameshare picha wakiwa pamoja wakishoot video hiyo na kuamsha...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY AINGILIA KATI BEEF LA SUGU NA MR BLUE
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, April 26, 2016
WATU WATATU WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MKOANI KILIMANJARO
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Bw.Wilbrod Mutafungwa amesema watuhumiwa hao wamekamatwa katika maeneo ya njia panda Himo wilaya ya Moshi na Sanya juu wilaya ya Siha wakiwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR BLUE: NDOA HAIWEZI KUNIFELISHA KWENYE MUZIKI
Msanii wa muziki Mr Blue amesema ndoa haiwezi kumsabisha ashuke kimuziki kama baadhi ya watu wanavyofikiria. Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television, Mr Blue alisema wasanii wengi wakubwa wa Marekani wamefanikiwa licha ya kuwa kwenye ndoa.
“Mimi
siwezi kufeli kwenye muziki nimepata mitihani mingi kwenye muziki lakini
sijashuka hadi leo, nimeanza muziki nikiwa mtoto na sasa hivi nimeshapata mtoto
bado...
Labels:
HABARI & UDAKU
KALA JEREMIAH APATA MTOTO WA KIUME AMWITA...
Mpenzi wa msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah amejifungua mtoto wa kiume Jumamosi hii, nakupewa jina, ‘Alama’
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu ya jana, Kala amesema jina Alama limetokana na jina lake la zamani, ‘Mark’. “Kusema kweli nafuraha sana kupata mtoto wa kwanza wakiume,” alisema Kala. “Mama yake nipo naye sema...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICHA: DIAMOND NA P-SQUARE WASHOOT VIDEO NCHINI AFRIKA KUSINI
P-Square
walitawala vichwa vya habari kwenye redio, TV, magazeti na blogs za Afrika kwa
kuingia kwenye vita vikubwa vya maneno kati yao kiasi cha kundi kudaiwa
kuvunjika. Peter hadi alianza kufanya show zake mwenyewe kwa jina la Mr P ikiwa ni
pamoja na kuanzisha management yake baada ya kukataa...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIKI NDICHO KILICHO MFANYA SIWEMA AHUKUMIWE KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA
Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa
kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa
kwenda jela miaka miwili jijini Mwanza. Pamoja na taarifa zote hizo kutoka hakukuwa na taarifa za kina
kueleza ni nini hasa kilitokea mahakamani mpaka akahukumiwa jela miaka
miwili ila taarifa za awali zilidai kwamba amehukumiwa kwa sababu ya
kutukana mtu mtandaoni.
Wakili wa serikali Moris Mtoi ameongea kwenye exclusive interview na DStv na kusema ukweli au chanzo cha Siwema kuhukumiwa hakikua kumtukana mtu mitandaoni bali...
Wakili wa serikali Moris Mtoi ameongea kwenye exclusive interview na DStv na kusema ukweli au chanzo cha Siwema kuhukumiwa hakikua kumtukana mtu mitandaoni bali...
Labels:
HABARI & UDAKU
KIFO CHA PAPA WEMBA CHAMLIZA DIAMOND PIA AZUNGUMZIA KOLLABO WALIYO IFANYA
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na
taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku
akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye
collabo.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini...
Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAYMOND ASIMULIA JINSI ALIVYO MSHAWISHI DIAMOND HADI KUMCHUKUA
“Brother Diamond akifanya ngoma anapenda management yake, kuanzia madancer, mameneja wote waweze kusikiliza wimbo wake. Katika hiyo crew ya watu waliokuwepo...
Labels:
HABARI & UDAKU
PAUL WA P-SQUARE ANASWA SOUTRH AFRICA AKIWA AMEVAA KOFIA YA WCB
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, April 24, 2016
HUYU SALLAM NDIYO KILA KITU KWA DIAMOND MFAHAMU HAPA
Ukiachana na Said Fella na Babu Tale, kuna mtu anaitwa Sallam ambaye inaaminika ni mmoja wa watu muhimu katika menejimenti ya Diamond. Sifa yake kubwa inayotajwa kuwa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
SIWEMA WA NEY ATUPWA JELA MIAKA MIWILI BAADA YA KUTUKANA MTANDAONI
Akizunguza na kipindi cha Jahazi, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nay Wamitego alisema ‘napambana kile nitakachoweza kuangalia kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAYDEE ATOA MAANA YA WIMBO WAKE NDINDIDNI HII HAPA
Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Lady Jaydee alisema, “The Ndi mimi ni kitu tori wewe...
Labels:
HABARI & UDAKU
MENEJA WA DIAMOND: NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ALIKIBA AKITAKA NIMSIMAMIE
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, April 21, 2016
BEN POL APATA MTOTO WA KIUME... LICHA YA YEYE KUFICHA MAMA WA MTOTO AWEKA PICHA HADHARANI
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, April 20, 2016
BARAKAH DA PRINCE AMVISHA NAJ PETE YA UCHUMBA
“Yeah ni kweli mimi na Naj tuna uhusino na hadi kwetu nimeshamtambulisha na yeye kwao najulikana na pia nimemvisha pia pete, sio ya uchumba ila ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
BAADA YA KUKAA SOBER KWA MWEZI MMOJA AFYA YA CHID YAANZA KUREJEA
Labels:
HABARI & UDAKU
AZAM FC YAAGA RASMI MASHINDANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUFUNWA NA ESPERANCE
Azam walikomaa kipindi cha kwanza na kufanikiwa kwenda mapumziko wakiwa hawajaruhusu goli hata moja licha ya mashambulizi makali ya mara kwa mara kufanywa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)