
Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi, lakini...
mauti yameshafuta mipango hiyo.
“Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halafu ghafla naskia habari ya msiba…Dah! nimesikitika sana. Hakika binadamu ni wazungumzaji tu ila Mwenyez Mungu ndiyo mpangaji…Pumzika salama Kiongozi wetu daima tutakukumbuka” aliandika Diamond Plutnums kwenye ukurasa wake wa facebook
Msanii Papa Wemba amefariki dunia juzi baada ya kuanguka akiwa jukwaani akiimba na kufariki papo hapo nchi Ivory Coast.
0 comments:
Post a Comment