“Ni tofauti sana na Uncle Kanumba alivyotulea, yeye alitulea kama watoto wake kazini lakini watayarishaji wengine hawatupi nafasi hiyo wananichukulia kama mwigizaji tu na wala sina...
ndoto nyingine,” Patrick
“Kila mara ninapomkumbuka Uncle Kanumba ni tofauti kabisa na watayarishaji wengine ambao wanatuchukulia kama wasanii wengine na si watoto tunaohitaji kulelewa vema, kwa kutumia siku ya kumbukumbu ya kifo chake tunafarijika,”
Filamu ya This is It iliyomtoa Patrick katika filamu
Kesho ni siku ya tarehe 7. April. ambayo mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahilihood Steven Kanumba ‘Kanumba the Great’ alifariki dunia, kifo kinachosadikiwa kusababishwa na msanii mwezake wa kike Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni siku muhimu kwa wasanii wote Bongo kumkumbuka gwiji huyo .
Kesho majira ya saa tisa katika makaburi ya Kinondoni familia ya Kanumba na wasanii wenzake watafanya kumbukumbu kwa ajili msanii huyo kipenzi cha wapenzi wa filamu.
0 comments:
Post a Comment