vile vitu ambavyo tumekuwa tukiandika, na aina yetu ya kuflow na jinsi ya uandishi, naweza sema ni kipawa tu namshukuru Mungu kwa huo uwezo pia”, alisema Joh Makini.
Weusi ambao juzi walifanya show kwenye tamasha la kusherehekea miaka 17 ya East Africa Radio lililofanyika Kigamboni, walikonga zaidi nyoyo za mashabiki na kusema wanamshukuru Mungu kwa mafanikio hayo, huku wakiwahimiza wasanii wengine kuongeza juhudi kwenye kazi zao.
“Tuchape tu kazi haina haja ya kuendelea kulalamika kwa sababu mwisho wa siku kila mtu anatakiwa apeleke msosi kwenye meza ya nyumbani kwake, so tuongeze bidii na tuwe wabunifu”, alisema Joh Makini.
0 comments:
Post a Comment