
"Nikichaguliwa kuwa Mbunge, sioni faida ya kutembelea magari ya kifahari na kulala kwenye jumba la kifahari wakati...
wananchi wangu wanateseka kwa kukosa huduma bora hospitalini na watoto wanakosa vitabu, vyumba vya madarasa na madawati. Nitauza mpaka gari la Mkuu wa Mkoa ili kuhudumia Jamii========= Mwisho wa Kunukuu.
Sasa linganisha kauli hiyo na haya maisha anayoishi Mbunge wa Mbeya Mjini, Mr Sugu. Je kwa tafsiri yako msomaji, nini maana ya Magari ya Kifahari na Nyumba ya kifahari? Hivi anavyomiliki Sugu si vitu vya kifahari?
0 comments:
Post a Comment