Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande
wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime
ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani
Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.Tazama picha za matukio ya harusi hapa chini...
Pia usikose ku Like facebook page yetu bonyeza link hii hapa Smashkilimanjaro
0 comments:
Post a Comment