skip to main |
skip to sidebar
NAY AINGILIA KATI BEEF LA SUGU NA MR BLUE
Ni siku chache zimepita tangu kutoka kwa video ya Freedom ya Sugu, video
ambayo ameifanya na Director Hanscana, baada ya kutoka nyimbo hiyo
kukatokea utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni yake, sasa
leo kupitia 255 ya Clouds FM Nay wa Mitego amefunguka kuhusiana na
ngoma hiyo nakutaka... kumpa idea Mr Blue.
"Blue angekuwa ni mshikaji wangu ningemshauri na yeye amtoe Sugu alafu
kama inawezekana aniweke mimi kwenye chorus halafu tuharibu hali ya hewa
tutajuana huko mbele ya safari, halafu kama ni hela ya kuifanyia Video
ngoma hii mimi nitalipa hata kwa GodFather au Hanscana‘:-Nay wa Mitego"
0 comments:
Post a Comment