Msanii
wa kike Pam D ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nipe
nono' ambao amemshirikisha Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa kuna
baadhi ya wanaume wamekuwa wakiwaogopa sana wasanii wa kike wa bongo
fleva.
Amesema wanaume wengi wamekuwa wakidhani kuwa wasanii hao wanawasaliti.
Pam D amesema hayo na kudai kuwa hata yeye anatamani kumpata mtu ambaye atakuwa 'serious' katika mahusiano lakini tatizo...