skip to main |
skip to sidebar
SIWEMA: NAY HAJANIKATISHA TAMAA YA KUWA KIMAPENZI NA MASTAA
Mrembo aliyezaa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’, Siwema Edson amefunguka kuwa, kuingia doa kwa penzi lake na jamaa
huyo hakujamkatisha tamaa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume
ambaye ni staa.
Siwema na Nay wa Mitego
Siwema amesema kuwa hawezi kuapa kwamba hatakaa atumbukie tena
kwenye penzi la msanii kwa kuwa hakuna...
anayejua huko mbeleni ataangukia kwa
nani.
“Siwezi kusema kuwa Nay amenikatisha tamaa au sitaingia tena kwenye penzi
la staa kwa sababu naweza kuapa halafu ikawa sivyo,” alisema Siwema.
0 comments:
Post a Comment