skip to main |
skip to sidebar
SHAA ATOA SABABU YA KUJIONDOA KWENYE UONGOZI WAKE WA ZAMANI
’Nimekuwa na ndoto ya muda mrefu kama ya miaka mitano iliyopita tumeona
wasanii ambao niliokuwa nao MJ Records wakina Izzo Bizness amesimama
mwenyewe ukija kwa Quick Rocka nae kafungua studio kwahiyo huu ni muda
wangu’– Shaa.
Maamuzi ya mimi kwenda kwenye uongozi wakina Tale ilikuwa baada ya mimi
mkataba wangu kumalizika kwenye lebo ya Unity Entertainment ya AY nilifanya...
nao kazi nzuri mpaka zingine zikakubalika ila maamuzi yangu kwa 2016 kazi
zangu zitasimamiwa chini ya record label yangu’- Shaa
0 comments:
Post a Comment