Pages

Subscribe:

Friday, November 11, 2016

ALIKIBA: KUTOPEWA NAFASI NYIMBO NZURI NI KIKWAZO KWENYE MUZIKI

14596663_201099673668078_1276845110826369024_n-2
Alikiba amesema tatizo lililopo kwenye muziki wa Tanzania, ni baadhi ya nyimbo nzuri kutopewa nafasi ya kusikika kama zinavyostahili. Ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa wakati alipokuwa kwenye ziara ya kupromote wimbo wake na Ommy Dimpoz, Kajiandae.

“Kuna watu wanaweza wakawa wanajua kabisa huu ni muziki mzuri, kuna watu hawatotaka ukae kwa muda mrefu, hii inatucost sana,” alisema. “Kuna muziki mzuri, wasanii wanaimba nyimbo nzuri lakini...
kuna watu wengine hawataki hii haifai hatuwezi kuendelea,” alisisitiza. “Hili suala siwezi kulinyamazia kimya.”

Hata hivyo Ali hakuweza kutolea zaidi ufafanuzi wa kauli yake.

0 comments:

Post a Comment