skip to main |
skip to sidebar
HII NDIYO KAULI YA JOKATE BAADA YA PICHA YAKE NA CALISAH KUZAGAA MTANDAONI
Watu Wabaya, Picha ya Jokate ya zamani akiwa amekumbatiana na Calisah
imeubuliwa na kuzua sintofahamu huku wengine wakisema Jokate alishatoka
na Mwanaume huyo ambae amekuwa gumzo kipindi hiki baada ya kutoka na
Wema Sepetu na kusemekana anavujisha Picha za Faragha akiwa na Wema.
Jokate amejibu kwa kuandika haya...
0 comments:
Post a Comment