Pages

Subscribe:

Sunday, November 13, 2016

UTOVU WA NIDHAMU WAMCHOMOA SELINE THE INDUSTRY


Tahadhari kutoka uongozi wa The industry Studio Tanzania msanii seline (Roseseline Muhagachi) hayupo tena chini ya uongozi wa lebo “The Industry” inayomilikiwa na NAVYKENZO (Aika&Nahreel).
 
Hii ni kutokana na matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu ambayo  yalitokea akiwa chini yaya uongozi wa label hiyo. The industry haihusiki na shughuli... matangazo wala matukio yeyote yanayomhusu mwanadada seline (roseline Muhgachi). Seline wa pili kushoto.

0 comments:

Post a Comment