Hitmaker wa ngoma ya “Hands Up” Young Dee ameendelea kuongeza list ya mastaa kutoka Bongo Flevani wenye followers wengi zaidi katika mtandao wa instagram. Ni baada ya kutimiza...
followers Million 1 katika mtandao wa instagram na kuongeza idadi ya mastaa kutoka Tanzania wenye followers wengi zaidi katika mtandao huo.
Mastaa wengine wakubwa duniani ambao wametimiza followers Million 1 hivi karibuni ni pamoja na Fat Joe hit maker wa ngoma ya “All the way up” wa nchini Marekani.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment