Amy Brown, Professor katika Chuo Kikuu cha Swansea amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao huwa na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauriwa kutowalisha kwa kijiko watoto wenye umri wa...
Wednesday, May 31, 2017
MADHARA YA KUWAPA WATOTO CHAKULA KWA KIJIKO YATAJWA
Amy Brown, Professor katika Chuo Kikuu cha Swansea amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao huwa na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauriwa kutowalisha kwa kijiko watoto wenye umri wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
LYRICS: Nyanshiski_malaika
[Verse 1]
Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
Urembo wako ulininasa roho
Siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo...
Labels:
LYRICS
ROSE NDAUKA AAMINI HAYA BAADA YA JOKATE KUTAJWA KWENYE JARIDA LA FORBES
Baada ya majina ya Watanzania kutokelezea katika jarida la Forbes la wajasiriamali wenye umri chini ya miaka 30, ambao ni Jokate Mwegelo na Lavie Makeup limemfanya muigizaji Rose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia.
Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba “Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna...
Labels:
HABARI & UDAKU
WAKAZI: ALBUM YA KISIMANI HAIJACHAHA
Msanii wa muziki wa hip hop, Wakazi, anajipanga kuachia albamu yake mpya ‘Kisimani’ ndani ya mwezi huu wa Ramadhani baada ya kuiandaa kwa kipindi cha miaka mitano.
Rapa huyo amedai tayari ameshawaahidi sana mashabiki wake juu ya albamu hiyo lakini kwa sasa analazimika kuiachia kwa namna yoyote, Akiongea na Bongo5 wiki hii, Wakazi amedai alikuwa anashindwa kuiachia albamu hiyo kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIZI NDIYO VURUGU ZA KUNDI LA RICH GANG's KWENYE MSIBA WA IVAN SEMWANGA
Jana May 30 ndio ilikuwa siku rasmi ya kupumzishwa kwa mwili wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda Ivan Semwanga ambaye aliwahi kuwa mapenzini na baby mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady na kufanikiwa kupata watoto watatu, ambaye amefariki May 25 huko ncini South Africa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Mwili wa Ivan ulipumzishwa mapema hapo jana katika wilaya ya Kayunga jijini Kampala nchini Uganda ikiwa ndio nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga. Mengi yalijiri katika msiba huo ila kubwa zaidi ni hili la marafiki wa marehemu Ivan...
Labels:
HABARI & UDAKU,
VIDEOS
MENEJA WA DIAMOND: NILIMKUTA SAM WA UKWELI ANAUZA MATUNDA
Meneja maneno ambaye awali alikuwa akisimamia kazi za wasanii kadha akiwemo Sam wa Ukweli,Rich Mavoko na Diamond Platnumz amefunguka jinsi alivyomkuta msanii Sam wa ukweli akiwa anauza matunda.
Maneno amefunguka hayo katika kipindi cha “Bongo Fleva Top 20′ cha EA Radio kuwa alimkuta msanii huyo alinaehit na ngoma ya ‘kisiki’ kwa sasa akiwa anauza matunda lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALIKIBA ADAI NGOMA YAKE MPYA IPO KATIKA HATUA ZA MWISHO
Unaikumbuka ile Mwana? Ngoma ambayo ilimrudisha vyema kabisa kwenye game ya music mfalme wa Bongo fleva Ally Saleh Kiba baada ya kimya cha muda mrefu. Kama hukumbuki vyema, ninachotaka kukukumbusha saa hii ni kwamba ngoma ile (Mwana) ilisukwa na mtayarishaji mkali na mkongwe wa Bongo fleva, Man Water.
Kama ulimiss aina na ladha ya muziki kama ule kutoka kwa King Kiba, the wait is over, sababu ametusanua kuwa yuko katika hatua za mwisho kuikamilisha ngoma yake mpya ambayo...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEN POL: SIJAMLIPISHA DARASSA FADHILA ILA WIMBO NDIYO ULIMUHITAJI
Msanii Ben Pol amesema ngoma yake mpya ‘Tatu’ aliyomshirikisha Darassa sio malipo au fadhila baada ya kufanya vizuri katika wimbo ‘Muziki’ bali wimbo wake ulikuwa unamuhitaji Darassa. Ben Pol amesema yeye na Darassa hawalipishani fadhila kwamba mmoja akimfanyia kitu mwenzake ni lazima amlipe.
“Hata mimi mwenyewe hapo katikati baada ya ‘Muziki’ nimefanya nyimbo nyingi sana, na ningeweza kusema mwanangu tufanye, nilikustaki kufanya ilimradi eti kwa sababu ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND: SIPENDI TIFFAH AWE MSANII WATAMLA SANA
Juzi kati msanii Diamond Platnumz alikuwa jijini Nairobi katika media tour ikiwa ni pamoja na kumtambulisha msanii wake mpya ambaye amemsaini kwenye lebo yake ya WCB Wasafi anayefahamika kwa jina la Lavalava.
Na moja kati ya media ambazo alifanya nazo interview ni pamoja na NTV ambapo DIamond alitisha kwenye kipindi cha The Trend. Diamond Platnumz aliulizwa maswali mengi ila moja kati ya hayo ni pamoja na angependa watoto wake wawe...
Labels:
HABARI & UDAKU
ERIC OMOND ATOA SOMO KWA WANAWAKE WANAOTAKA KUWA KAMA VERA SINDIKA
Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameonyesha picha zake akiwa amevaa nguo za kike ambapo amewaonyesha watu wanaotamani kuwa kama Vera Sidika.
Omondi amepost picha mbili katika mtandao wa Instagram na kuandika, “I assure you!!! This is going to...
Labels:
HABARI & UDAKU
LULU: ZARI NI MAANA YA MWANAMKE JASIRI
Hakuna asiyetambua ugumu ambao anaupitia Zari The Boss Lady kwasasa, ikiwa ni pamoja na kufiwa na aliyekuwa mwanaume wake ambaye walifanikiwa kupata naye watoto watatu, Ivan Semwanga almaarufu kama Ivan Don.
Lakini bado mwanamama huyo ameonekana kusimama imara na kucheza vyema nafasi yake kama mama bora kwa watoto wa marehemu Ivan Don ikiwa inaeleweka fika hivi sasa Zari yuko...
Labels:
HABARI & UDAKU
GODZILLA AKANUSHA KUWEKWA NDANI KIUNYUMBA NA DOREEN
Wawili hao hapo awali walidaiwa kutoka kimapenzi.
Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii. “Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is...
Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii. “Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is...
Labels:
HABARI & UDAKU
BIFU LA LUDA NA DRAKE LILIMALIZWA KWA STYLE HII
Ludacris aamua kuweka wazi kuhusu bifu lake na Drake kwamba lilishamalizwaga kitambo hata kabla ya kuja kutangaza kwenye tuzo za Billboard.
Wakati album ya “Views” ilishinda tuzo ya Top Billboard 200 Album katika utoaji tuzo wa Billboard, Drake alitumia fursa hiyo kufunguka kwamba yeye na Ludacris hakuna tena bifu, Nikukumbushe kwamba bifu la wawili hao lilianza...
Labels:
HABARI & UDAKU
LAIZER ATAJA MSANII WA WCB ANAYE FURAHI KUFANYA NAYE KAZI
Mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Wasafi Records, Lizer amemtaja msanii wa WCB ambaye anafurahi zaidi akiwa anafanya naye kazi.
“Msanii yoyote anayejua mimi nina enjoy sana kufanya naye kazi, ukimuelekeza fuata hiki anafuata lakini naweza kusema kwa kuwa Raymond ndiye msanii aliyegundua kitu kilichopo ndani ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
MRISHO MPOTO ASEMA NENO KUHUSU MZEE ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA LA TANZANIA
Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena.
Mpoto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kudai Mzee huyo alishawahi kumsaidia kumpa wazo la kufanya video ya wimbo wake wa ‘Njoo Ichukue’.
“Hii ni taarifa ya kunisikitisha sana kwenye maisha yangu ya muziki, nakumbuka kabla ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
DOGO JANJA KUJA NA BIDHAA ZA MICHEZO ZA WATOTO
Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka kwa kusema kuwa yeye hana mpango wa kufanya biashara ya nguo kama wasanii wengine bali anafikiria kuwa na bidhaa za michezo za watoto. Dogo Janja ameimbia show ya XXL kuwa amejipanga kuja na brand ambayo itatoa vitu vya watoto kama game.
“Yaani mimi nitakuwa na deal na madogo, madogo janja Mungu akijalia niweze kusafiri nikaenda kuifanyia mitikasi hiyo nikirudi hapa narudi na bidhaa. Unajua ukifanya biashara na mtu mzima...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, May 26, 2017
HARMORAPA AFUNGUKA SABABU YA YEYE KUVAA GAUNI ILIKUWA NI ALIKIBA
Harmorapa amefunguka kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha amevaa gauni na kiremba kichwani.
Chipukizi huyo asiyeishiwa vituko amedai kuwa, anamkubali sana Alikiba hivyo alipomuona wiki iliyopita katika kipindi cha Lip Sync Africa kinachoruka kupitia runinga ya MTV SA akiwa amevalia...
Labels:
HABARI & UDAKU
NJIWA ALIYE TUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA AKAMATWA
Katika taarifa iliyoripotiwa na BBC njiwa huyo alikamatwa baada ya kushindwa kuruka baada ya kuzidiwa na uzito wa dawa hizo ambapo alikuwa amebebeshwa kibegi kidogo mgongoni kilichojazwa vidonge 178 vya dawa zinazoaminika kuwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
HIKI NDICHO WALICHO KIFANYA G NAKO NA BELLE 9 KWAAJIRI YA HARUSI
Wasanii G Nako na Belle 9 katika project yao mpya ‘Ma-Ole’ ni kwa ajili ya kusherehesha kwenye harusi, na ni mwanzo wa kuwaandikia maharusi nyimbo kwa wale watakaohitaji.
Belle 9 amesema wakati wanatoa wimbo ‘Give It To Me’ akiwa na G Nako walipata show kadhaa za pamoja ambazo walienda kufanya kwenye harusi tofauti tofauti ndipo wakawaza kuja na...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA DIAMOND SIKU MBILI KABLA YA KIFO CHA IVAN
Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR
with Millard Ayo siku mbili zilizopita na kuzungumzia ishu mbalimbali
akiwa na kundi lake la WCB kwenye kumtambulisha msanii mpya wa WCB
aitwae Lavalava.
Pamoja na maswali mengine, Diamond alijibu kuhusu Mpenzi wake Zari kwenda kumjulia hali Ivan ambaye ni mzazi mwenzie ambapo japo Mashabiki wengine walionyesha kutopenda Zari kumjulia hali, Diamond alisema...
Pamoja na maswali mengine, Diamond alijibu kuhusu Mpenzi wake Zari kwenda kumjulia hali Ivan ambaye ni mzazi mwenzie ambapo japo Mashabiki wengine walionyesha kutopenda Zari kumjulia hali, Diamond alisema...
Labels:
HABARI & UDAKU
MOSE IYOBO AMPIGA MARUFUKU AUNT EZEKIEL KULALA KAMBINI
Ni kawaida kwa wasanii movie kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya kushoot filamu zao, sasa mpenzi wa malkia wa filamu Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amempiga marufuku mrembo huyo kulala kambini kisa wivu wa kimapenzi.
Mose Iyobo ameimbia show ya XXL kuwa mwanzoni suala hilo lilikuwa linamuumiza kwa sababu walikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, May 25, 2017
DIAMOND ATAMKA MANENO MANNE KWENDA KWA MAREHEMU MUME MWENZAKE
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
MANCHESTER UTD KUSHIRIKI UCL BAADA YA KUTWAA KOMBE LAEUROPA SIKU YA JANA
Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden. Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United sio tu Kombe bali pia...
Labels:
HABARI & UDAKU
GARI LA ZARI LAMFUKUZISHA KAZI Q BOY PALE WCB
Q Boy amesema kuwa alifanya kosa ambalo linahusu gari la Zari (mpenzi wa Diamond Platnumz) na licha ya kuwa kosa lile ni la kibinadamu kwamba yeyote angeweza kulifanya, lakini uongozi wa WCB uliamua kumfuta kazi, Q Boy alitoa kauli hiyo akifanya mahojiano na kituo kimoja jijini Dar es Salaam ambapo alisema kwa sasa anajikita zaidi katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Watch & Download: Lavalava_Tuachane (Official Video)
Msanii mpya kutoka WCB, Lavalava ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Tuachane’. Tazama hapa chini video hiyo.
Watch Here
WOLPER: NINA MAHUSIANO ZAIDI YA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ
Muigizaji Jackline Wolper amesema yeye na msanii Diamond Platnumz wana uhusiano wao ambao ni kiwango cha juu kwani wamekuwa wakishirikiana katika mambo mengi.
Katika segment ya kikaongoni inayorushwa na EATV (facebook) inayotoa fursa kwa watu kumuuliza mgeni maswali, moja ya swali lilitaka kujua ni iwapo Wolper alishakuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA TAARIFA ZA KIFO CHA MZAZI MWENZA WA ZARI
Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.
Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram: “Broken...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEN POL AFUNGUKA SABABU ZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU
Baada ya Ben Pol kuchafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia Alhamisi ya wiki iliyopita kutokana na picha zake zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu kuenea mitandaoni na kumsababishia kukutana na mvua kubwa ya matusi, msanii huyo amefunguka sababu ya kufanya hivyo.
Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Tatu’, ameiambia Bongo5 Junanne hii kuwa alifanya hivyo ili kuendana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
ZARI AFIWA NA MWANAUME ALIYE ZAA NAYE WATOTO WATATU
Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na matatizo ya moyo.
Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, May 6, 2017
Friday, May 5, 2017
SHILOLE AMKANA LIVE ALIKIBA NA KUMKUBALI DIAMOND
Msanii wa muziki, Zuwena Mohammed aka ‘Shilole’, amedai yeye ni shabiki wa damu wa Diamond na sio Alikiba. Akiongea katika Kikaango cha EATV Jumatano hii, Shilole amedai anampenda
Diamond kutokana na vile alivyo pamoja na vitu anavyofanya.
“Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole. “Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile...
“Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole. “Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)