Pages

Subscribe:

Wednesday, February 14, 2018

BAHATI NA MKEWE DIANA WAFANIKIWA KUPATA MTOTO WA KIKE



Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Bahati amethibitisha kupata mtoto wake wa pili wa kike.

Bahati amepata mtoto huyo na kupitia kwa mkewe Diana Marua ambaye amejifungua mapema Jumatano hii. Muimbaji huyo ameonyesha furaha yake kupitia mtandao wa Instagram na kutaja jina la mtoto wao huyo kuwa ni...
Heaven.


“GLORY TO JESUS!!! This Morning this Girl @Diana_Marua has given me the greatest gift of Life #BouncingBabyGirl 3.24kgs  Help Us Welcome @HEAVENBAHATI,” ameandika Bahati.

Mtoto huyo anakuwa wa pili kwa Bahati, baada ya wa kwanza aliyezaa na ex wake, Yvette Obura.

0 comments:

Post a Comment