Baada ya masaa kadhaa tangu Zarina Hassan maarufu kama Zari The Bosslady kutangaza kuachana rasmi na mzazi mwenzake mwanamuziki wa Bongo fleva Naseeb Abdul Juma (Diamond Platnumz).
Kupitia mtandao wa Instagram Diamond ameonekana amepost kipande cha video cha wimbo wa Mbosso ‘Nimekuzoea’ huku akiambatanisha na ujumbe uliosomeka...
Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi…… Dah @mbosso_naona Kama Ulintabiria Mdogo angu



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment