Hit maker wa "Mapacha" Rich Mavoko apata shavu la kuwa balozi wa shirika
lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa mazingira, World
Wide Fund (WWF) kwa mwaka mzima. Dili hilo embalo amelipata baada yakushoot video ya wimbo wake mpya
"Mapacha"nchini South Africa, ambapo anaonekana akiwa anaimba na mnyama
Duma akiwa pembeni yake. Mavoko amezungumzia jinsi...