jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi? aliuliza kwa hasira mama huyo.
Ofisi ya mkali huyo wa filamu za Kibongo, aliyefariki ghafla miaka mitatu iliyopita, ilikuwa eneo la Sinza Mori na ilifungwa wiki mbili zilizopita, baada ya mama huyo kudaiwa kushindwa kumudu kodi mpya ya pango ambayo ilipandishwa.
0 comments:
Post a Comment