Kama ni mfatiliaji wa kipindi cha
Siz Kitaa cha Clouds Tv, utakuwa umekutana na interview ya T.I.D a.k.a
Myama a.k.a Mzee Warioba akijibu swali la mtangazaji wa kipindi hicho
"Casto Dickson" lililohusu sababu kubwa ya kuvunjika kwa Top Band,ambapo
kwa TID alisema Q Chilla alikuwa na tamaa...
kama atadanganya mbele ya jamii kwamba nimempa chake na ye chake
amekitumia tofauti kunichoresha sidhani kama ni mtu mzuri kwangu, ni mtu
mbaya......
Mwambie huyo Warioba kwamba Mugabe kakasirika kusikia una-provoke na kuongea vitu ambavyo havi-make sense kwake....
* aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasahivi, afanye mambo ya
msingi ana watoto ana baba ana mama aache kwanza ngada, arudi kwenye
mziki kama mi nilivyorudi na For You, aache hizo habari ...
Qchief amefunguka maneno mazito sana baada ya kusikia kauli hiyo ya TID
"sidhani kama hizo ni sababu, mi nadhani TID is alittle bit frustrated
right now, because of what he is going through nadhani hilo linamfanya
kidogo limchanganye na pale anapoulizwa maswali na kujibu. Katika
kumbukumbu yangu mi ninachokumbuka ni kwamba muhindi alitoa kama milioni
kumi hivi ya ile album, alivyotoa ile ilikuwa ni advance bado tunamdai
hela ingine mi nilikuwa nimesafiri nimeenda Mombasa, kwahiyo my only
mistake nikumwambia TID kwamba nende kachukue ile hela kwa muhindi
nikiwa na imani ni hela ndogo hawezi kuitolea macho....
Unajua hela ni hela, hela ni ibilisi alivyoishika mkononi, alikuwa
kijana alikuwa na mambo mengi, akaingia tamaa, kuingia tamaa akaniambia
bwana kuna milioni tatu imetoka inabidi nikupe nini, halafu kwanza na
mi pia nimechukua tatu halafu kuna nne nyingine itatoka, kwahiyo
aka-compile zile mbili zangu mbili zake zikawa nne kwa hiyo ana seven
milion, mi narudi baada ya wiki moja namwambia bana sasa inabidi tupande
ndege twende Dubai tukachukue vyombo, mi na wewe tukachague, baadae
nikapiga hesabu kiubinaadam na kiungwana nikaona aah tukipanda ndege
watu wawili cost itakuwa nyingi, kwanini wewe usiende tayari una
experience na Band, basi tumepanga vizuri, namkuta asubuhi anakula bata,
mi natoka maisha nasema huyu si Myama huyu, anatakiwa awe kwenye ndege
saa hii, sa mbona yuko hapa? mtu wa pembeni girlfriend wake akanitonya
akaniambia sikiliza TID akiona hela anakuwa kama jini anabadilika na
ubinaadam pia unakwisha..........
Sasa TID kumbe ile hela kaila kaifanyia mambo mengine kaongezea kanunua
gari, mi nilivyorudi nikamfat amama ake na kaka zake, nikawaambia bwana
ikija mara ya pili ntakuja na defender za kutosha halafu ntamuharibia
huyu jamaa umeon abwana. sasa wakaja wakanitisha bwana unajua TID sijui
mtu wa kinondoni, nikawaamba mi staki kuju anaishi wapi kwasababu mi
mwenye mtoto wa jua, Sun of the Sun no mother no father, nimezaliwa na
jua, sa ukiniambia kazaliwa oooh sijui wapi sijui wapi me i really dont
wanna know that, me i want my money back, ndio maana kesho nakuja na
polisi.....nilivyofika na polisi wakaomba negotiation (maelewano) pia
hakutoa hiyo hela yote aliyokusudiwa kuitoa milioni tatu iliyobaki,
jamsingi alichokifanya kajipiga piga kaja akatoa milioni moja na
nusu.........
Infact i dont like the guy kwasababu he is a bit frustrated he needs to
sit down and settle his things, thats how he can sit down na kuanza
maisha mapya, nilihisi tumeshayamaliza haya mambo, lakini kama
atadanganya mbele ya jamii kwamba nimempa chake na ye chake amekitumia
tofauti kunichoresha sidhani kama ni mtu mzuri kwangu, ni mtu
mbaya......
Qchief aliendelea kutiririka baada ya swali kuhusu kama kutakuwa na uwezekano wa baadae kurejea top band
no no no no am another new brand yaani, ni brand kubwa kuliko ye
anavyofikiria sidhani kama mimi napaswa kurudi Top Band, nadhani yeye
anaendelea, afanye kitu Top Band irudi pale, kwasababu siisikii siioni,
kwahiyo unaponiambia nirudi pia ur making a mistake, Qchief amerudi
kwaajili ya kufanya kazi zake na wasanii wanao focus na future yao, sio
wasanii ambao wako tayari ku-back bite kuhusu mtu flani kwasababu ya wao
kupata kiki......
Mwambie huyo Warioba kwamba Mugabe kakasirika kusikia una-provoke na
kuongea vitu ambavyo havi-make sense kwake, tell him to do music, better
music, not to talk about me cause me i dont talk about him anymore, na
aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasahivi, afanye mambo ya msingi
ana watoto ana baba ana mama aache kwanza ngada, arudi kwenye mziki kam
ami nilivyorudi na For You, aache hizo habari. Aachane kabisa na mambo
ya unga, arudi, akiri awe mwanaadamu kama wanaadamu wengine, unakuwaje
mnyama, unakuwaje mnyama wakati we binaadamu. mwambie sasa mzee mugabe
kashafanya Press Conference nyingi kuliko Mzee Warioba kacheza na
International Affairs amulizie Mugabe nani duniani atapata majibu
0 comments:
Post a Comment