Kifo cha mdau wa muziki nchini ambaye ni mwanzilishi na meneja wa kundi
la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale, kilichotokea
Magomeni-Kagera jijini Dar es Salaam, juzi jioni kimeendelea kuzua utata
kufuatia mtuhumiwa wa mauaji mtu aliyetajwa kwa jina la Nassoro Idd
kuingia mitini.
Akizungumza na mandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na
mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul
Bonge...
Video hiyo inaonesha utamaduni wa mswahili wa pwani ambaye amerithi mambo mengi kutoka kwa waarabu. Hivi ni vitu ambavyo Afrika na dunia nzima imevisoma kwenye historia ya
ukoloni. Kupitia video na wimbo wake, Diamond amewapa mashabiki wa
muziki wa Nigeria, Ghana, Afrika Kusini na nchini zingine nje ya Afrika
Mashariki...
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya jana imepata pigo baada ya muasisi wa
kundi la muziki la tiptop Abdul TaleTale (Abdul Bonge) kufariki jioni ya
jana jumamosi.
Abdul amefikwa na mauti alipokuwa akikimbizwa katika Hospitali ya
Mwananyamala baada ya kusukumwa na kuanguka alipokuwa akiamulia ugomvi
wa...
In the on going battle between Zari and Chagga Barbie it has been
revealed that Zari’s pregnancy is not Diamond’s! Chagga Barbie wrote to
remind Zari that she is carrying a baby for a man she named by one name
‘Katunzi’...
Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi aliyosema kuwa atapima DNA kujua
kama kweli mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada ya Siwema kudai
kuwa mtoto huyo si wake bali ni wa Obasanjo.
Nay wa Mitego amehabarisha kuwa amepima DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa
kuwa majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8.
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady
Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii
Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba kumsupport Jide jana usiku
katika show yake bila masharti yeyote huku Ali Kiba akipata shangwe
kali kutoka kwa mashabiki.. Lady jay Dee kaandika hivi...
Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke
anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda
lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya.
Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na
mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua.
Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu zenye
mikusanyiko wakijiachia...
Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu
akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014,
Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo. Wawili hawa wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano
wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha
hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;...
Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E
cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT,
Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi aliyozungumzia, alitoa
maelezo kuhusu wasanii watano anaowakubali na sifa zao Kimuziki ambapo
alimtaja Msanii wa BongoFleva Diamond Platnumz kuwa sio 'Mwanamuziki'
mwenye kujua kuimba muziki kiufundi.
Akifafanua kauli yake kwa mapana , Barnaba alieleza kwamba...
Tumuombee! Afya ya mama mzazi wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platinumz, Sanura Kassim ‘Sandra’ bado si shwari juzikati hali
yake ilibadilika ghafla na kuilazimu familia yake kumkimbiza katika
Hospitali ya TMJ iliyoko Mikocheni jijini Dar ambako amepewa kitanda.
Diamond alipotafutwa kuzungumzia afya ya mama yake aligoma kusema lolote
zaidi ya...
Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko
kama vile harusi zilivyo.
Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za
majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.
Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda
mwili wake ufunuliwe...
KUKAMILIKA kwa mjengo wa Staa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiyo
habari ya mjini kwa sasa ambapo gumzo zaidi ni kuhusu gharama halisi
huku mkandarasi mmoja akikisia kuwa si chini ya sh. mil. 400,
Akiuzungumzia mjengo huo baada ya kuuona, mkandarasi mmoja ambaye
hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alithibitisha kuwa mjengo huo
unafikia sh...
Nay wa Mitego na Mtoto wakeNay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi
mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa
kwake bali ni wa aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani Obasanjo. Japo Wahenga
wanasema Kitanda hakizai Haramu Nay wa Mitego amehabarisha kuwa...
Wale Mastaa waliodaiwa kuingia kwenye bifu zito, Zamaradi pamoja na Ray
C, na baadae kupatana, huku chanzo cha bifu kikidaiwa kuwa ni mwanaume,
bifu hilo limeibuka tena, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni maneno ya kejeli
ya mtangazaji zamaradi mketema kwa mwanamuziki Ray C.
Hivi karibuni Zamaradi aliposti picha ya mwanae kwenye mtandao wa
Instagram akim wish Happy birthday, uku aki repost baadhi ya pongezi
kutoka kwa...
Kwa mujibu wa taarifa za kiupelelezi, Dola la kiislamu la ISIL, maarufu
kama Islamic state. Linampango wa kujenga himaya yake Afrika mashariki,
hasa Tanzania, Ethiopia, Kenya na Somalia. Hii ni kutaka kuungwa mkono
na kujitanua zaidi kwenye nchi za Afrika. Pia Dola hilo limekuwa
likipanga kuishashambulia Tanzania, hasa miji ya Mwanza na Dar Es
Salaam...
Diamond Platnumz
In my 70Million Pure Gold plated toilet...pupping and Movies Lol!....i
can't wait to play dirty game with her tonight ...IN THE MAKING OF STATE
HOUSE!!!..thanks alot @Red_interiors i cant wait for the State house to Be
Done! Done!"-Diamond captioned this photo
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi
kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia”.
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with
someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mtu
ambaye anampenda na...
Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia
ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo
makubwa yakushtusha.
Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani, Siwema: "Daah,siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt,iko hivi:@nay,naomba
usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd. tena...
Gazeti la Kiu Limetoa Siri kuwa Dansa wa Diamond Moses Iyobo amedaiwa
kuanza kurithi mali za mume wa Msanii Aunty Ezekiel, Sunday Demonte
Ambaye yupo Gerezani nchini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha Miaka Kumi. .
Mali anazodaiwa kurithi Iyobo ni pamoja na nguo anazodaiwa kuonekana
nazo mitaani na kwenye Show za Diamond. Chanzo cha ndani kinasema nguo
hizo ni zile alizokwenda kuzichukua...
Msanii Dudubaya Ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa
kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao
ambae alikuwa amekaa naye meza moja pale Mango Garden huku Twanga Peteta
wakiburudisha Tarehe 14 March.
Inasemekana Papa Mapao baada ya kutosheka na Burudani aliamka na
kuondoka lakini baada ya kufika nje alishtuka kuwa ameacha simu mezani
na kurudi lakini alikuta simu haipo na mtu aliyemwacha hapo ni Dudubaya
ambae bado alikuwa hapa. Hali ilikuwa mbaya ukumbini kwani baadhi ya
mashabiki walipendekeza Dudubaya Asachiwe lakini ghafla...
Mwanamuziki wa Injili kutoka Tanzania Rose Muhando ameleta utata mtandaoni
baada ya kutoa sifa za kuonyesha kumkubali Mwanamuziki wa Bongo Fleva
H-Baba kwa kazi yake mpya Show Time,Rose Mhando alitoa sifa hizo baada
Msanii wa Bongo Fleva H Baba akiwa na Mwibaji wa nyimbo za injili Tanzania
Rose Mhando. Baada
ya kushuhudia show aliofanya H Baba na wimbo wake mpya wa Show Time.
Rose Mhando alinukuliwa akisema kuwa...
Mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu Jumanne wiki
hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa
mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, anadaiwa kugoma kumtaja
Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa mtangazaji huyo jijini
Dar, baada ya...
Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul
‘Diamond’ ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya mpenzi wake Zarina Hassan
‘Zari’ imetoka na kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi.
Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa mtandaoni kuwa ile mimba yake
aliyokuwa akiilea kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond alisema:
“Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema hivyo...
Utajili wa komediani maarufu
Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na
sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali
nyingi. Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani
kama kidokezo, hapo mwandishi akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza
kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni...
Wakati kamatakamata ya waganga wa kienyeji ikiendelea
kupamba moto katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, mmoja amenaswa akiwa na
viungo vya binadamu, kikiwemo kichwa ambacho bado kilikuwa na nywele
zake.Mganga huyo, Nyamizi Makunga (70), mkazi wa Kijiji cha
Igurubi wilayani Igunga, Tabora, alitiwa mbaroni juzi. Mbali na viungo
hivyo, pia alikutwa na vifaa vingine, zikiwemo...
"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa
ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar
lakini kanipandisha ndege ahahaha. Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda
Diamond Platnumz hana njaa na ndio maana alizikataa dola 30,000 ambazo
ni zaidi ya shilingi milioni 54 za Tanzania kufanya show nchini Uganda?
Hiyo ni kwa mujibu wa rapper maarufu wa Uganda, Atlas Da African
aliyekuwepo nchini wiki hii, baada ya Diamond kuwa chanzo cha kuijaza
club Guvnor kwenye All White CIROC Party iliyoandaliwa na mpenzi wake
Zari the Bosslady December 18 mwaka jana, makampuni kadhaa yalijitokeza
kumtaka msanii huyo afanye show yake mwenyewe...
Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri
wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya
wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni...
Zimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz akiwa Hospitali
akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines zilizoandikwa
kwamba alinusurika kukatwa mguu.
Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa
upasuaji huo wa mguu kutokana na...
IMEVUJA! Ile mimba ya aliyekuwa Mtangazaji wa Efm Radio, Penieli
Mungilwa ‘Penny’ ambayo ilijulikana alipachikwa na staa wa muziki wa
Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imezua mzozo upya baada ya kuvuja
kwa madai mengine.
Chanzo makini kimeliambia Amani kwamba, tofauti na madai ya Diamond
kwamba Penny alitoa mimba yake, lakini kumbe Diamond hakumpa mimba ila
ilikuwa ni...
Mwigizaji wa Kike Kajala Masanja Mwenye ugomvi na Wema sepetu Baada ya
Kuchukuliana Mabwana inasemekana kwa sasa ameamua kurudiana na aliyekuwa
mpenzi wake wa zamani Producer P-funk Majani ...Ambae ni Baba wa Mtoto wake
Anayejulikana kama Paula.